WanaJF! Hebu 2ipe mtazamo hili jina "IKIWAKA MULIKA IKIZIMA PAPASA G.HOUSE",,,, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaJF! Hebu 2ipe mtazamo hili jina "IKIWAKA MULIKA IKIZIMA PAPASA G.HOUSE",,,,

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, May 31, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nilianza safari ya kuelekea Morogoro kwa safari niliyopata ghafla na nilifika hapa Hedaru nikaona nitie nanga early morning nidamke . Sasa Best niliyemkuta pale kama mwenyeji akanipeleka kwenye nyumba ya wageni yenye maneno haya IKIWAKA MULIKA IKIZIMA PAPASA GEST HOUSE ndg zangu mi sijaongea na huyo mshikaji wala wa mapokezi nikapiga kimya,Na ndiyo nikasema niwajuze WanaJF km kuna aliyewahi kuingiaga hapa na anipe mawili matatu km ipo. Nimewakilisha tu!
   
 2. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kama nimeelewa vizuri HEDARU ni sehemu inayosifika kwa ukahaba kutokana na magari mengi ya mizigo kusimama pale, so read btwn the lines
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ndg yangu utafikiri upo hp malori kibao.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kuna rafiki wangu mkubwa amefikia anga hii akitokea Iringa na lori aina ya Scania 124G na akakubwa na janga la kufunguliwa chumba na kuibiwa pale guest tajwa hapo juu!

  Na ndipo nikakumbuka maneno tajwa katika Guest yenyewe!

  Ama kweli maneno nyingine ukikuta mtu ameandika itabidi uifanyie kazi kbl ya.
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  hilo jina mie nimechoka!!!!!!!
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  .
  Mmh, hiyo guest lazima itakuwa ya mswahili wa pwani.
  .
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Yani jina yenyewe tu niposoma niliogopaga.
  Na mpk muda huu huyo Kamanda nawasiliana naye hana hata dalili ya kupata chake!
  Kazi kweli kweli!
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hata nami nimehisigi hivyo hivyo!
  Wale wacheza bao masaa 12 tangu saa tatu asubuhi mpk saa mbili usiku!
   
Loading...