Askari JWTZ waua watu watano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari JWTZ waua watu watano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtagwa lindi, Mar 18, 2012.

 1. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Askari wa jwtz ofic ya mshauri wa mgambo ulanga wamewaua watu watano kwa kuwapiga risasi huko malinyi katika zoez la kuwaamisha wafugaji ktk eneo tengefu la ardhi oevu.
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  zoezi limefanyika lini? maana walitoa taarifa kuwa mkoa wa morogoro umesitisha zoezi hili hadi mwezi wa tisa
   
 3. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Imetokea jana,walisitisha kwa wale waliolima had watakapovuna ila mifugo iondolewe
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 9,994
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa yangu mjeda aliwahi kuniambia kwamba askari wa JWTZ haruhusiwi kutumia bunduki uraiani, na ikitokea hivyo basi jumuiya ya kimataifa huwa inatafsiri kwamba nchi husika ina vita vya wenyewe kwa wenyewe (Civil war). Tusubiri matamko kama ni kweli Tanzania imeingizwa katika katika list ya nchi zenye vita vya kienyeji.
   
Loading...