Kwanini matangazo mengi ya biashara kwenye Radio wanatumia lafudhi ya kichaga.....

Skillionare

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
1,190
523
Nimesikiliza matangazo mengi ya kibiashara ktk radio ,tv, wanatumia lafudhi ya hawa wachaga..... (Mara chache wakurya wasukuma na wazenj)hivi makabila mengine kwenye matangazo lafudhi zake hazina mvuto kibiashara.
 
Bse they ar succesful kwnye biashara thats y! Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza arifu...,.,wale wa2 wanaisaka hela by hook and crook xo money and business are inseparable!!
 
Back
Top Bottom