Tigo mtazigarimu ndoa za watu jamani embi badilikeni basi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo mtazigarimu ndoa za watu jamani embi badilikeni basi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Mar 17, 2012.

 1. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,471
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Inasikitisha sana tangu tigo ianze kuwa na matatizo ya netweork uaminfu kwenye ndoa umeanza kuwa mchache hata kwa wale waliokuwa na uaminfu ndani ya miaka 4..inashangaza kuona jamani mke anatuma msg hny uko wapi umeshakunywa asbh inaingia wakati umefunga file to hme...huku kashaandika msg kibao mbona upatikani uko wapi jamani

  ukimkuta alieamua kubali yaishe anasema jamani kumbuka na condom mpenzi wangu maisha ni mafupi lakini jinsi gani unaondoka hiyo nayo inamatter hakika unacheka hoi....

  Embu tubadilke jamani kama mmeshindwa mseme watu wahame ati mtandao wenu umefanywa nini mnatutia aibu kuhatarisha ndoa na maisha ya watu kumbukeni wanawake wengine awajui kusubiri anakunywa sumu anajimaliza unakuta barua hny nimechoka kila siku nikipga upatikani ni yako peke mbaya unaweza piga simu sehemu nyingine simu ikaita inakuwa inawachanganya sana mabinti wetu je nani ananilia msheduede wangu jamani

  embu tubadilke tunawapa 72 hrs
  kuanzia sasa
   
 2. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,726
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Mkuu kwani nchi hii kuna mtandao wa tigo tu?
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 0
  Hii kali kupitiliza!
   
 4. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Basiasi uko wapi huko? Pole sana
   
 5. La kuchumpa

  La kuchumpa Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa kaongea point nzuri sana... Sasa kwa wale wasio aminiana ndo kabisaaaaaaaaa....
   
 6. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,471
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  IKO mingi mkuu inategemea we ni mpenzi wa mtandao gan
   
 7. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ingawaje situmii mtandao wa tigo lakini uliyoyaandika ni ya kweli maana nawasikia marafiki zangu wakilalamika
   
Loading...