Anna Makinda For Presidency 2015!!

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Nimesikia habari mtaani kuwa lile kundi lililomuweka huyu mama katika kiti cha uspika lina mpango wa kumpa sapoti ya urais 2015, endapo mtu wao wanaemtegemea hatafanikiwa kupata nafasi ya kugombea ndani ya chama.

Hizi ni habari zinazoongelewa mtaani sina source ya uhakika!!!
 
Una point nzuri mkuu, but nenda katafute kwanza evidence na data za kutosha nd then uje utupe habari yenye uhakika.
 
Hata hapa wanaweza wakawepo wenye evidence na data za kutosha vilevile.
 
Acha kukurupuka, nadhani hii post yako ya kwanza ndo unajifunza kutumia computer.
Huhitaji hata chekechea kujua upepo wa siasa hapo 2015.
 
Udaku= kuzungumza maneno ya mitaani usiyo na ushahidi au uhakika wa uwepo wa mambo hayo!
 
halafu umekosea jina lake tangu awe

spika hupendelea kuitwa Anne a.k.a Bi Kiroboto
 
Nimesikia habari mtaani kuwa lile kundi lililomuweka huyu mama katika kiti cha uspika lina mpango wa kumpa sapoti ya urais 2015, endapo mtu wao wanaemtegemea hatafanikiwa kupata nafasi ya kugombea ndani ya chama.

Hizi ni habari zinazoongelewa mtaani sina source ya uhakika!!!
Tobaaa! Tumekwisha.
 
Acha kukurupuka, nadhani hii post yako ya kwanza ndo unajifunza kutumia computer.
Huhitaji hata chekechea kujua upepo wa siasa hapo 2015.
Wewe ndio acha kukurupuka, mbona habari nyingi zinazoletwa humu na zinakuwa tetesi??
 
Nimesikia habari mtaani kuwa lile kundi lililomuweka huyu mama katika kiti cha uspika lina mpango wa kumpa sapoti ya urais 2015, endapo mtu wao wanaemtegemea hatafanikiwa kupata nafasi ya kugombea ndani ya chama.

Hizi ni habari zinazoongelewa mtaani sina source ya uhakika!!!

Weeee!!! ishia hapo hapo!!! Utani mwingine mbaya sana unaweza kusababisha maafa... tena usirudie utani kama huu siku nyingine, weeee!
 
Nimesikia habari mtaani kuwa lile kundi lililomuweka huyu mama katika kiti cha uspika lina mpango wa kumpa sapoti ya urais 2015, endapo mtu wao wanaemtegemea hatafanikiwa kupata nafasi ya kugombea ndani ya chama.

Hizi ni habari zinazoongelewa mtaani sina source ya uhakika!!!

:A S 13:
yanayoongelewa mtaani unayasikiliza na kuyaacha hapo maana yaweza kuwa walikuwa wanajifurahisha
 
mara gwaaa..mtu kawa nominated ..mara gwaaa ... watu wameiba kura ..mara gwaaa..watu wameingia magogoni ..mara ving'ora mama ni rais..mimi najinyonga au nahamia kenya kama maghufuli alivyoshauri
 
Back
Top Bottom