Duu! Hiii inatsisha sana
MALAYA WA AFRIKA WANAONGOZA KWA HIV
NAIROBI, KENYA
WANAWAKE wa naofanya kazi ya umalaya katika nchi zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara, imebainika kuwa, wanaongoza...
Huyu bwana anafanya kazi kisanii sana kwenye gazeti la Guardian On Sunday kama mhariri wa michezo. Bahati mbaya sana lugha inampiga chenga na pia hajui bahari za michezo, ninasikia kwamba kabla ya...
Nimewahi kutembelea hotel kadhaa hapa TZ,
Kuna hotel ambazo zinajitahidi kuchangia pato la watanzania kwa kununua bidhaa za kitanzania kwa matumizi ya hotel zao, lakini serena hotels imekuwa ya...
Hi wadau na wana jf wote kwa ujumla, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni sifa zipi mtu anapaswa kuwa nazo ili akajiunge na chuo cha urubani? manake wengine wanasema lazima physics,maths na...
Mashabiki wa soka tz tumekuwa silka moja ya kutopendana kwenye shida na raha hasa timu zetu zinapokutwa na matatizo, embu tuige kwa wenzetu huko majuu kwenye ligi za wenzetu. Angalia hii ya...
Wana Jf nielezeni kama kuna post yenye mashaka nahawa watu wawili!Usijekuta wakutana wakaweka mambo sawa somewhere outside!Maana aliondoka kwenda kucheki afya India,soon jamaa kafata!Ila yeye...
Habarini wanajf
Kwa habari zilizokuwepo ni kuwa kumekuwa na utaratibu wa shule ya Sekondari Minaki kufanya ziara za kujifunza Uingereza kwa miaka kadhaa ambapo kuna shule wanayobadlishana nayo...
1. Dhana ya kutii sheria kwa hiari ni nzuri sana. Inafaa liwe somo la kufundishwa mashuleni kuanzia chekechekea hadi chuo kikuu.
2. Nasema hivi kwa sababu matukio mengi mabaya yanayotendeka hapa...
yule jamaa sielewi jina lake,lakini Hando anaanzisha kipindi vizuri na tunapenda kusikiliza inapofika wakati wa magazeti huyu kilaza anayesoma magazeti anakuja na kama kuna habari ya kuhusu...
Ni maeneo ya hall 1
amekamatwa ananyemelea chumba cha wasichana..akawatishi kuwapiga..akakimbiza hadi kukamatwa
kapewa kipigo yuko hoi..polisi wamekuja lakini bado hawajamtoa chuoni
TAHADHARI-SIMU ZA MKONONI
Wanabodi:
Nashauri kila mwenye simu ya mkononi
Amtambulishe mke wake kwa maneno "My Wife" au "Mke wangu"
Au kwa wanawake "My Husband" au "Mume Wangu"
Na kwa bachelors...
Basi la Prince Muro T485BQV limepata ajali eneo la Senjele-Tunduma na kuua abiria mmoja na kujeruhi kadhaa! Basi hilo lililokuwa likitokea Dar kwenda Tunduma lilikuwa likijaribu kulipita/Overtake...
Binafsi ni mtoto wa mjini ambaye ninajua kuwa si rahisi kupata fedha kirahisi, kuna tapeli mmoja alinipigia simu na kunitaja jina langu kwa ukamilifu, akajifanya yuko Arusha kwenye mbuga za...
Rashita Mbedzi feeds cheating husband with dead cat meat and dog faeces
A man from Bulawayo High Density suburb of Tshabalala will think twice before cheating again after his embittered wife...
Nahamasika sana hasa pale napo muona Edward Lowassa pale ambapo amekuwa kinara wa shughuli za kanisa hasa katika ufunguzi,kuwapandisha maasikofu vyeo,ujenzi wa makanisa mgeni rasimi amekuwa...
Manispaa ya Ilala iliwauzia watu mamilioni ya Fomu za kununua viwanja maeneo ya Kinyerezi,
Wakati wanajua ukweli vile viwanja siyo mali yao kwani hawajawalipa fidia wenye maeneo
yao...
Habari wana jamvi,
Nimekutana na haka ka-quote kwenye gazeti la Raia Mwema na kakanikumbusha mambo mengi sana.
"Mie ndiye mwajiri mkuu, nisikilizeni mimi. Msimsikilize Mgaya. Mtafukuzwa kazi...
Na Mwandishi Wetu, Morogoro | Global Publishers
WIZI kwenye chumba cha Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Kighoma Malima (pichani) mwishoni mwa wiki iliyopita katika Hoteli ya Nashera...
Wazanzibar wameonge weee na sisi watanaganyaika tumejitia kujitwika gunia la misumari wakati vichwa vyetu upara nashindwa kuelewa mtanganyika na mzanzibar nani anamuitaji mwenzake zaidi madai yao...