Mashabiki wa soka tz muwe na wamoja!

bigcell

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
219
60
Mashabiki wa soka tz tumekuwa silka moja ya kutopendana kwenye shida na raha hasa timu zetu zinapokutwa na matatizo, embu tuige kwa wenzetu huko majuu kwenye ligi za wenzetu. Angalia hii ya Fabrice Muamba kwenye mechi ya kombe la FA kati ya Tottenham Hotspurs na Bolton Wonderers alivyo anguka pale uwanjani, alivyotolewa kwenda hospital na wanavyomjali mashabiki na wachezaji timu pinzani.
article-2116438-12379176000005DC-989_634x365.jpg
article-2116438-1240DB6F000005DC-514_634x495.jpg
article-2116438-1237613A000005DC-996_306x423.jpg
article-2116438-123758FE000005DC-663_306x423.jpg
article-2116438-123CFB92000005DC-285_634x460.jpg
article-2116438-123D64CB000005DC-43_634x437.jpg
article-2116438-123E3978000005DC-174_306x464.jpg
article-2116438-123D87C0000005DC-580_306x464.jpg
article-2116438-123D300D000005DC-29_634x424.jpg
article-2116438-1237B543000005DC-505_634x325.jpg
article-2116438-123981B3000005DC-155_634x735.jpg
article-2116438-1239D931000005DC-903_634x378.jpg
article-2116438-12375F6E000005DC-849_306x423.jpg
 
mkuu kwa bongo sio kazi raisi.wakati leo niyonzima akivunjika mguu simba wanaweka sherehe kwa kujua nguvu ya ya yanga imekufa...
 
Back
Top Bottom