Huyu katoka Ujerumani kudai yuko fit,Mzee Rich nae katoka India na Stoop! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu katoka Ujerumani kudai yuko fit,Mzee Rich nae katoka India na Stoop!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Codon, Mar 21, 2012.

 1. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana Jf nielezeni kama kuna post yenye mashaka nahawa watu wawili!Usijekuta wakutana wakaweka mambo sawa somewhere outside!Maana aliondoka kwenda kucheki afya India,soon jamaa kafata!Ila yeye akaenda JERUMANI?Sio janja ndani kweli,kwamba kulikuwa na talk somewhere btn two country?
   
 2. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 417
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Hujasomeka, nini sasa unaongelea.
   
Loading...