Wizi wa manispaa ya ilala juu ya viwanja vya kinyerezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa manispaa ya ilala juu ya viwanja vya kinyerezi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by REMSA, Mar 21, 2012.

 1. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Manispaa ya Ilala iliwauzia watu mamilioni ya Fomu za kununua viwanja maeneo ya Kinyerezi,
  Wakati wanajua ukweli vile viwanja siyo mali yao kwani hawajawalipa fidia wenye maeneo
  yao Kinyerezi.Ilivyo ni kwamba Mahakama kuu ya Tanzania imeamuru manispaa isimamishe zoezi
  la upimaji viwanja na wala wasifike maeneo ya Kinyerezi mpaka kesi ya msingi iliyofunguliwa na
  wanakinyerezi dhidi ya manispaa itakapomalizika.Pia Mahakama kuu imewaruhusu wakazi hao wa
  Kinyerezi kuendelea na shughuli zao kama kawaida ikiwemo kuendelea na ujenzi ktk maeneo yao
  .
  wizi mwingine manispaa waliuza mamilioni ya Fomu wakati wanajua viwanja walivyokusudia kupima
  si zaidi ya 3000 tu.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Da walinilisha 20k hao watu!!
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0

  BAKITA....mi sijaelewa jaman we king kong:wink2:
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Bora wewe walikulisha,
  Mimi nliwalisha wao 60k kwa plot 3.
  Jumlisha foleni ya Benki Na ya kurudisha form ni kilio zaidi
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mi nilishtuka niliona wizi wa mchana kweupeeeeeee
  Aende CAG akakague zile 20,000 na 3000 zimetumikaje kama watu hawajajinyonga pale halmashauri
   
Loading...