Serena

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
Nimewahi kutembelea hotel kadhaa hapa TZ,
Kuna hotel ambazo zinajitahidi kuchangia pato la watanzania kwa kununua bidhaa za kitanzania kwa matumizi ya hotel zao, lakini serena hotels imekuwa ya maajabu kwangu na sielewi kwa nini waimport maji ya kunywa kutoka Nairobi lodge zao zote ukitembelea utakutana na maji ya Aquamist imported from Kenya, kama sikosei kuna kipindi Kikwete ashawahi kuchimba mkwara kuhusu mambo kama hayo wakasitisha kwa muda sasa sijui nguvu ya mkwara imeisha ama namna gani, kama sijasahau vyema nakumbuka mwalimu wangu wa somo la biashara alishawahi kusema hii kitu inaweza kuwa controlled kwa kuincrease kodi kwa imported product kama hizi ili kuruhusu the same product kuuza zaidi, sina idea kama inaweza tumika hii njia, but kilimanjaro yetu bado ina kwality nzuri sana sijajua nini shida au kwa sababu wakenya wamehodhi sana serena??
Maana top bosses wote wakenya japo nawatz wanapewa vinafasi vya danganya toto, lakini hili la kutoa maji Kenya as if hakuna maji TZ inaniumaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
 
wawekezaji wa kitz walijitokeza kuwekeza lakini ufisadi wa aliyemuisrael jkn akaona watagundua siri za wizi wanaotaka kuufanya akakimbizia ubawa kwa mabwanyenye wa nje. Hii ndo faida ya eac huoni wakenya wanapiga kelele watalii wawe wanalipia kenya aafu wanakuja kushangaa wamasai tz? Hili ndo soko la pamoja. Hii nchi wawekezaja wengi wanavunja miiko ya mikataba lakini tunaogopa kuwafukuza kwa sababu tuliwaingiza kwa mlango wa nyuma. Ukisema tuvunje mkataba watasema ooh...yatatokea mambo ya dowans na tanesco kumbe tunajua mwanasheria wa tanesco aliyetumwa kwenye kesi aliletwa na ra. Hi yote inatokana na kutaka matumbo yao na vifaranga vyao yaendelee kushiba milele.
 
Back
Top Bottom