Watanganyika hivi wazanzibr tunawangangania nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanganyika hivi wazanzibr tunawangangania nini??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yasser5, Mar 19, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wazanzibar wameonge weee na sisi watanaganyaika tumejitia kujitwika gunia la misumari wakati vichwa vyetu upara nashindwa kuelewa mtanganyika na mzanzibar nani anamuitaji mwenzake zaidi madai yao eti wana bandali tanganyika tuna bandali ngapi eti wana uwanja wa ndege tanganyika tunavyo vingapi sasa limeingia la gessi kwn tanaganyika tuna a machimbo mangapi kila siku zanzibar ,zanzibar waacheni na ubinafsi wao na sisio tudai taifa letu tanganyika
  ni just maoni tuu wamenfika mwisho leo
   
 2. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mmmmhhhh.......
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Tukiviachia vitaleta training camps za fundamentalism. Tuvishikilie hivyo hivyo
   
 4. LEARNED BROTHER

  LEARNED BROTHER JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Me nimewachoka kama wao walivyotuchoka. Still sijaelewa ni kwanini tunawang'ang'ania. Je, ni yepi tunayoyapata kutokana na muungano? Na yepi tutayakosa endapo Muungano utavunjika? I hate and am tired with them totally
   
 5. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  To me i think the biggest problem with those people is illiteracy. That's why they're usually blaming.
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  wanahaki bwana tuwaachie rasimali zao wazitumie!
  okey unasema sisi tunazo zimetusaidia nini?
  uwizi ufisadi na uchoyo ndo vinatuumiza tuwaachie wanaweza kutumia vyema!
   
 7. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  hata mimi naona tuwaachie nchi yao i am tired na zanzibar zanzibar zanzibar.
  Tumewang'ang'ania sana hata sielewi sababu ni nini?
   
 8. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wazenji hawana faida yoyote kwetu-bora ingekuwa tunawatumia kama watumwa watufanyie kazi-
   
 9. next

  next JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  we are with them for security reasons
  it will be easier for any one to infiltrate mainland if zanzibar is to be left alone
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mimi nahisi wao wananufaika zaidi kuliko sisi, security gani ambazo hatuwezi sisi kujiwekea. Wao wanachotegemea ni misaada ya nchi za kiislamu once we go solo. Mimi Sioni cha zaidi

  -Hawana uchumi hata kuwatosheleza wenye
  -Natural resources let say if they turn industrialisation
  -Chakula chaa kutosha ni matatizo more than 60% imported from Tanganyika


  Few things that might help them:-

  -Bandari, if only they are to have proper freezone however they will still need a close ties with neighhood coz I believe bidhaa zote haziwezi kuuzika ZNZ only for greater benefit
  -Tourism still at young stage lot to be done, they have nice
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Thats off the line...talk sense
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wanaolalama ni wale wacheza bao na wanaopenda taarab za Mzee Yusuph, most of educated ones left the country as there is limited opportunities for them
   
 13. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mmelogwa nyie,, na mchawi wenu Nyerere yupo Butiama....

  Tatizo lenu VIFUUTUNDU mnaona upeo wa pua zenu, Kambarage anajua faida ya kutuvamia ndio maana akafanya kila njia kutimiza hilo... lakini siku zenu zinahesabika.

  Sasa hivi mshaanza kustaarabika ndio mnajifanya wajanja! wakati mlikua mnapanda meli kuja Zenji kuangalia TV,,, wanawake na wanaume mnavaa raba.... looh! mmetoka mbali nyie.

  Subirini kidogo,, tukimaliza kuwafunza USTAARABU tutakuachieni. wala msihangaike hamuwezi kuuvunja mpaka sisi tutake. kama mnabisha tunaongeza karne moja nyengine.
   
 14. a

  altaaf Senior Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  hii haijakaa vyema utakuwa mwisho wa dunia kwa wazanzibar kuwa watumwa wa tanganyika tatizo wengi wanaoropokwa hapa hata zanzibar yenyewe hawajafika fikeni angalau mjilinganishe na wao ni kweli tanganyika kuna kila kitu lakini mpaka kesho watanganyika wanabaki ni ma house girl na ma haouse boy kule znz huwezi mkuta mzanzibar akafanya kazi kama hii kwa mtanganyika . Tuna msemo tuatumia asiekuonea tabu kukukalia uchi usione tabu kumtizama . Edward teller wewe ni mmoja wenye chuki binafsi na wa znz huna tofauti na avatar yako !
   
 15. a

  altaaf Senior Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  kwa kuongezea hapo kwenye red na vilemba visivyoeleweka siku hizi angalau wamekua wataalam wa kuweka nywele za bandia
  tulikuwa tunawaita afro visokoto !

  imekuwa fun kwa hawa jamaa kupachika thread za ujinga kuonyesha udhaifu wao halafu wantuita ndugu zao ! hatujawa na wala hatutokua ndugu zao hawa walifaa kuungana na waganda .
   
 16. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wewe kweli umekosa sera, yani ZNZ imekuwa ni mtoni watu hawawezi fika, watu waje zenji kuna nini la zaidi ambalo haliko mainland. Nani aliyekwambia kuwa housegirl ni dishonour? ni bora kuliko kuwa nothing, mnafanya jeuri hata la maana hamna. Mnaishia kucheza bao na kusubiri wapi kuna ukimbizi mkajilipue

  Wadanganye hao hao ZnZ tunaijua vizuri, its a day trip and you're done.
   
 17. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sisi ni waafrika asilia na sio wanaharamu wa kiarabu tuwe na singa. Wewe usinichokoze, nitawachamba nyie wadanganye hao hao.
   
 18. a

  altaaf Senior Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35

  mkuki kwa kunguruwe ! Msg sent and delivered ! Sasa kama wewe ni muafrika halisi kwa nini usibaki na uhalisi wa nywele zako ? Nakushangaa umechokozwa vipi ? Waliokutangulia hawaelewi kwa wanang'ang'ania znz ? Hata tv mmezijua juzi nini bana sisi tumekutangulieni ukipenda usipende na bado tupo juu mpka kule tanganyika . Angalia avatar yako madame x unavyojifananisha baki na visokoto vyako si muafrica halisi wewe ? Hapa hatuchambani tunatalk openly ! Wewe si ilikupendeza hii thread so whats the matter ? Hunaga !
   
 19. a

  altaaf Senior Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  hapo hapataki mwenge mpaka kesho tunapokea kike kwa kiume kulimia mashamba yetu ! Kwa sasa mikokoteni yote tumewaachia jamaa zako pale town tembea dada uone usiropoke tu usiwe little thinker huu ukumbi wa great thinker you get it ?
   
 20. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  altaaf, you need to grow I won't spend more of my energy educating you, if your ZnZ didn't do for you. Kubeba mikokoteni, kulima shamba sio aibu hiyo inaonyesha watu wako serious na maisha kama nyie bado mnacheza miduara. Nyie mna nini, hiyo tv inayolilia imekusaidia nini mpaka leo. Hapo ndio umeonyesha zaidi kuwa fikra zenu bado finyu wakati wenzenu wako mbioni kufungua vyuo na university ili kujielimisha nyinyi mkaona TV ndio deal, mpaka hii karne ya 21 at last ndio mnajua kwenda colleage

  Zungumza facts we can count, kama kweli mnamaendeleo ya maana. Watanganyika watakuja huko kufanya kazi so long tuna wapemba wanauza maduka ya viungo hapa kwetu. Hujasema kama hotel management wamezimiliki nani huko kwenu, wote vijana wa mainland.

  Kama kweli tumewang'ang'ania waambie ma ami zako wamikomboe, wao pia walishaona kama they can't survive without us. Mmesahau umeme mlivyokuwa hamna umeme for more than a month in 2007 cause you connections are coming from mainland.
   
Loading...