Ni sifa zipi zinatakiwa ili mtu akasome na awe rubani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sifa zipi zinatakiwa ili mtu akasome na awe rubani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by backer, Mar 21, 2012.

 1. b

  backer Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wadau na wana jf wote kwa ujumla, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni sifa zipi mtu anapaswa kuwa nazo ili akajiunge na chuo cha urubani? manake wengine wanasema lazima physics,maths na geography, wengine wanasema maths, geography na language. msaada wadau manake najua humu ni jungu kuu lisilokosa ukoko. nawasilisha
   
 2. bigcell

  bigcell JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  kwa msaada embu tembelea hawa jamaa www.flymwaa.comwatakupa jibu la uhakika ni sifa zipi anazotakiwa mtu kuwa rubani.
   
 3. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Awe mtu
   
 4. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,906
  Likes Received: 2,335
  Trophy Points: 280
  Bwana mudogo Kama unamaindi ku aidha vishadasie toka zamani tulijua kuwa lazima uchukue combi ya PGM na wale marubani wa zamani wa Air Tanzania walienda vyuo vya Pert- Australia,Soroti-Uganda, au hata Addois Ababa-Ethiopia.
   
 5. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mimi Hkl naweza pia?
   
 6. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  HKL=Hakuna Kusoma Lala we ndenda kawe mwanasiasa tu
   
 7. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Math,physics,geography na uwezo wa kusoma na kuongea kiingereza fasaha ndo mahitaji muhimu kwa vyuo vya urabani kozi ngumu kidogo na haitaji wamezaji wa shule za kata.south africa nahisi ni best place ya kuanzia coz wanamafunzo ya vitendo hata kwa beginners
   
Loading...