leo siku ya sita Hedaru hakuna umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

leo siku ya sita Hedaru hakuna umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wizzo, Mar 21, 2012.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  kwa kweli tanesco hamtendi haki kwa watu wa hedaru mpaka makanya,umeme hakuna na wala hawajatoa taarifa na hatujui utarudi lini
   
 2. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Hata kwetu posta huku dar umeme ni strarehe.
   
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  umeshapeleka malalamiko kwa diwani wako?
   
Loading...