Mwizi apigwa vibaya UDSM, yupo hoi!

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
11,064
7,196
Ni maeneo ya hall 1
amekamatwa ananyemelea chumba cha wasichana..akawatishi kuwapiga..akakimbiza hadi kukamatwa
kapewa kipigo yuko hoi..polisi wamekuja lakini bado hawajamtoa chuoni
 
Ukimchunguza sana unaweza kuta yuko mwaka wa pili hapo hapo udsm...aibu sana sana...
Naomba ni pm roho yake mkimaliza kuitoa
 
huyo lazima sio mwanafunzi angekuwa ni denti angekuwa bize na assignment..
 
Nyie ni WAUWAJI tu kama waliomuuwa yule mwenye ugonjwa wa akili huko Mbezi Beach na kusema eti Muanga.

Nakubaliana na Songoro kuwa vibaka kweli wanaopita na suti na viyoyozi mnawaacha na kuwachamkamkia Vidokozi.

Akija hapo leo Lowassa hata bila mlinzi, MTAMSUJUDIA. Ovyooo kabisa.

I hope hamtafikia hatua ya kumuuwa zaidi ya kumwadhibu tu......
 
duh..ushabiki mwingine bwana...ongea reality..hivi unajua baada ya UD kumzomea JK kilichowapata? unajua ni wanafunzi wangapi hajawarudishwa ud ? unajua jk alivyo na kiburi? huyu mwizi mdokozi anataka kuiba sijui kuwabaka wadada wewe unataka wamfanye nini? haya Lowasa kawaibia watanzania wewe unauhakika ukikatana naye utafanya haya ambayo unawaasa wana ud wafanye? ukifanya unajua utakapo pelekwa? ..
wekeni ushabiki pembeni guys.
 
huyu ata akiachwa atafia ICU.
 
Dunia nzima ni vijana wamefanya mageuzi. Tanzania vijana hizo nguvu wanazielekeza huko sipo.....

Kill him, kill the Nig** mother F****, hihihiiiiiii..................

C%255B1%255D.JPG

duh..ushabiki mwingine bwana...ongea reality..hivi unajua baada ya UD kumzomea JK kilichowapata? unajua ni wanafunzi wangapi hajawarudishwa ud ? unajua jk alivyo na kiburi? huyu mwizi mdokozi anataka kuiba sijui kuwabaka wadada wewe unataka wamfanye nini? haya Lowasa kawaibia watanzania wewe unauhakika ukikatana naye utafanya haya ambayo unawaasa wana ud wafanye? ukifanya unajua utakapo pelekwa? ..
wekeni ushabiki pembeni guys.
 
Hawa jamaa wanatuibia sana wakuu,wanatukata mapanga sana hawa wezi.ila sipendi kuua sio vizuri mungu hapendi
 
Hiyo Story Inasikitisha!! Unaweza Kukuta Kijana Alikuwa na ahadi na Mpenzi wake Hapo Ila Hakuwa anajiamini!! Then anhukumiwa kama Mwizi!! Jamani Tunakwenda Wapi? Si kitu cha ajabu Kijana Kuwa na Mpenzi wake Hapo ambae ni Msomi!! Jamani Vijana wa Chuo Tuwe na Tabia Ya kuhoji kabla Hatujahukumu!!!
 
mkuu u hit the jackpot! Hii ilitokea 2010 block a mabibo pale kuna mshkaj alienda kumsalimia dem wake af akaitiwa kelele za mwizi..........kumbe the guy was a student na kilichomuokoa ni jamaa mmoja alifungua gari na kumuingiza ndani bt gari liliharibiwa.! So wizi ni bad but emotional judgement kwa kumpiga m2 kwa kumndhania ni mwizi is not gud.
 
Kama hao tunaosema kuwa ni wasomi wetu wanajichukulia sheria mkononi..itakuwaje kwa wale vijana wa kijiweni? Mfumo umeoza kuanzia kwa wasomi hadi kwa wala unga hakuna wenye akili!
 
mkuu najiwazia hivyo hivyo, tena usisahangae hapo kama waandishi wa habari wa tv walikuwepo na wahusika watajieleza kwa mbwembwe kweli kweli na bado hawatachukuliwa hatua yoyote.

Well, hata hao law enforcers wenyewe they care less sasa acha watu wajiamulie tu. Kila mtu anatafuta mnyonge wake amtunishie msuli.

we are now living in a lawless society!
 
Uc'hukumu ucje kuhukumiwa, mbona wanafunzi mnaibaga mitihani au assignment za wenzenu, au madesa ya wenzenu, nani aliwapiga hvo?, mlitakiwa mumkanye tu kidogo na kumpa adhabu tu ya kumwagilia maua hapo mabibo, au kuchota maji cafteria na kuosha vyombo.,
 
Back
Top Bottom