Msaada kununua pikipiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kununua pikipiki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mastabenja, Mar 23, 2012.

 1. M

  Mastabenja Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana jf nisaidieni nataka kununua pikipiki najishauri ninunue mpya hizi za siku hizi kama sun lg,toyo nk japo nazo bei zake sijajua.au ninunue used mfano honda za kikapu au xl.pia nasikia kunj pikipiki zinaitwa bajaji nyingine rtm naomba mwenye uelewa mzuri wa hivi vitu anichanganulie ikiwezekana na bei.Mimi nina kama mil moja na nusu.
   
 2. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,642
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Toyo power king cc150 itakufaa sana, mm nilinunua mwaka jana mwezi wa 11 bei 1,650,000
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,412
  Likes Received: 1,871
  Trophy Points: 280
  Ungeeleza kwanza kwa shughuli gani yaani binafsi au biashara?
   
 4. M

  Mastabenja Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwendea kazini shamba na kuchukulia mizigo ya dukani
   
Loading...