Kwa wana jf wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wana jf wote

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kima mdogo, Mar 24, 2012.

 1. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna kundi la wana jf wapya na wakongwe wanaoanzisha thread mara kwa mara kukizushia chama cha chadema na viongozi wake mambo ya uongo, mfano wa thred hizo ni kama "MPASUKO NDANI YA CHADEMA" na nyingine nyingi km LEMA AMFANANISHA WASIRA NA SOKWE, HALIMA MDEE AMFANANISIA WASIRA NA SOKWE. Ewe mwana jf tambua kabisa lengo la kikundi hiki ni kuwavunja wanachadema moyo, kuivuruga chaema na kuipa ccm nguvu ili iendelee kutawala na kuwanyonya Watanzania. UNAPOKUTA THREAD KAMA HIZO ZIPOTEZEE
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  lengo lao lingine ni kuivuruga jf.
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hawataweza manake watu siku hizi wameamka sana! Wanajisumbua na kupoteza muda wao bure...
   
 4. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  washindwe katika jina la yesu.
   
 5. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pipoziiiiiiiiiiii....................., Wasira kafanana na sokwe, ukweli unauma. Lkn hiyo ndo sura ya kiume. Hata Camerun akija bongo yeye atapona.
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sio wanaivuruga JF tu wanamsababishia Maxence Melo na Mike kuisha maisha ya kusakamwa na watu wa serikali, hawa ndugu zetu wanaishi bila amani kutoka na upuuzi wa baadhi ya members humu ndani,
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Yaani mkuu, wameshaona JF nayo ni mwiba kwao!! Ni vizuri watu wanaoanzisha maada nzito nzito, ziwe relevant na issue yenyewe pamoja na ushahidi! bila hivyo ni kuzifuta tu.
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanaofanya hivyo wote ni kama malaya wanaiuza na kuishushia hadhi JF kwa ujira wa booktano kwa siku.
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tatizo liko kwa mods, sijui wamelala,wameacha kazi au wako likizo!
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ameeeeen
   
 11. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmmh kwa kuwa kaguswa chadema angeguswa sisiem?
   
 12. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  jina la yesu halisaidii,washindwe katika jina la chadema,peooooooopleeeeeees powerrrrrrrrrrrrrrrr
   
 13. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  na kuvuruga jukwaa letu la siasa,ili tuache kujadili mambo ya msingi na uchafu unaofanywa ndani ya serikali yetu. Mwana cdm usije ukatokwa povu kwa thread za kimagumashi.
   
 14. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Mods msipokuwa makini jf itaendelea kushuka kiwwango.tunaitaka jf iwe kama enzi za jambo forum.
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mapungufu ya chadema yasemwe lakini tatizo nyingi ni mada za uongo na uzushi,
   
 16. m

  massai JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wakongwe huwa tunapita tu
   
 17. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  CCM wala hana haja ya kuguswa. tumekuwa nae kwa miaka karibu 50 sasa.
  Anajulikana nje ndani. Alishachafuka bala hata sijazaliwa mpaka leo uchafu umekuwa gamba ambalo kulivua lazima uichune na ngozi. kwa ari zaidi, kasi zaidi na nguvu zaidi
   
 18. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  JF inaanza kuwa kama gazeti la kingo enzi hizo za Zena na Betina
   
 19. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nahii nayo ni BREAKING NEWS????!!! NDIO MAANA NA WW NI KIMA MDOGO WEEEEEEEE!!!!!!!!!!
   
Loading...