Mfalme wa oman asili yake Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfalme wa oman asili yake Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgadafi, Mar 23, 2012.

 1. m

  mgadafi Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naona kumekuwa mada nyingi dhidi ya warabu ,mwangalie mfalme wao kabila lake ni al. busaid. kwa waliowahi kuishi kigoma ujiji kuna sehem inaitwa busaid na huko ndiko walipo toka mababu zake. Ukienda oman kuna mji unaitwa salalah huko utakuta watu wenye asili ya tanzania i mean black kama mnavyowaita waarab weupe hao wanamaisha mazuri kuliko hata wanaoishi muscut, na wao wanaaminika kuwa na utajiri 58% ya utajiri wa oman je swali kwa wanaowalani waarab lini tv yoyote ilionesha wanabaguliwa,na asieamini kama mfalme wa oman ni black unaweza tafuta picha yake kwenye google
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  wabongo mnapenda ujiko.........
   
 3. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Umeona eeeh!
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  chenga
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kabisa! Siku si nyingi tutaambiwa wamarekani weusi asili yao tabora!
   
 6. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Watu wa Fiji wametoka Rufiji.
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280

  Sardar Nabil Gabol with the King of Oman - YouTube
   
 8. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  OMAN.jpg

  WA KUSHOTO NI MWEUSI KAMA Zitto?
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  So what??
   
 10. s

  sugi JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  sawa,huyo mfame ni muha wa kigoma,Tanzania,SO WHAT......?
   
 11. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 2,053
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  Wakiwapa TENDE zawadi mnaanza kulalama.Kumbe ni zawadi kutoka kwa kaka zenu.
   
 12. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Basi atakuwa mkongo maana kama alitokea kigoma, asilimia kubwa ya watu wa kigoma walitokea kongo au burundi
   
 13. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  ha ha ha haaaa! Very nice mkuu!
   
 14. m

  mANg'HOnDi Member

  #14
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  serching..................
   
 15. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ndio. Hata Bob Marley asili yake ni Mndekereko.
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hahhahaaaa ni kweli kabisa, je unajua kuwa pdidy ni mzaramu? Usicheze na tanzania ......
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  so ataleta tende na halua za bure au?
   
 18. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Amesaidi kitu gani kigoma?
   
 19. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  ila twende mbele turudi nyuma 50 cent ni mmachinga kabisa kwao pale nangulukulu mbele kidoogo hata nduguze wangi bado wapo pale
   
 20. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,158
  Trophy Points: 280
  son alishazushiwa kuwa ni Mbongo tena from Dodoma...


  Mpoki ni Mwarabu Mweusi wa Dubai..

  Na Wale Wahindi Weusi nao Asili yao ni Wapi?
   
Loading...