Breaking news: Super Najimunisa lawaka moto mchana huu!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news: Super Najimunisa lawaka moto mchana huu!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by samirnasri, Mar 24, 2012.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Habari nilizozipata hivi punde ni kwamba basi la kampuni ya super najimunisa lililokuwa likisafiri kutoka dar es salaam kuelekea mwanza linawaka moto muda huu maeneo ya Gairo. Taarifa zaidi zinasema kwamba kuungua kwa basi hilo kumesababisha msongamano mkubwa wa magari yanayotoka na kuelekea dar kwani inabidi yasubiri moto uishe na mabaki kuondolewa ndipo yaendelee na safari. Hakuna taarifa yoyote ya vifo vilivyotokea.


  source: msafiri.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Huko hakuna fire rescue? kwanini wasubiri mpaka liteketee?
  kweli tanzania nchi ya ajabu sana
   
 3. t

  twime1129 New Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana , tunamshukuru Mungu kwa wote kupona
   
 4. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Pole sana wasafiri
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Poleni sana, Tuwe na hilekopta za multipurpose kwa rescue mission, Tupunguze mashangingi.
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Wahindi kwa makafara!
   
 7. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ee Mola wanusuru waja wako, Amen!
   
 8. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Poleni sana abiria,
   
 9. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Poleni najimunisa,

  ila wakati mwingine mnatushtua sisi waTZ maana hizi ajali zisizo eleweka leo moto
  au ndio kwa babuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu timiza masharti mkuu
   
 10. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  kweloooooooooooo
   
 11. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  nasikia wajasiria mali wamefyeka pembeni mwa barabara magari yanapita huko na kutoa kitu kidogo.
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  waarabu ndo wenye hayo mambo
   
 13. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  kwani hii ni habari ya kisiasa???
   
 14. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi wakinga ni waarabu wa wapi? Maana kwa makafara ya biashara sasa wanaongoza TZ
   
 15. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Dah hiyo kali kwelikweli, Kwa hiyo ajali imezuia magari yote yanayotoka na kuelekea DAR? Basi waanze kupita wale wasiotoka wala kuelekea Dar ili hawa wanatoka na kuelekea Dar wasubiri na msongamano upungue. Huu moto ni wa ajabu sana. Kuwazuia wanaotoka na kuelekea Dar tu?
   
 16. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wewe tunakujua kwa chuki zako zilizojaa udini hadi unatumia masaburi badala ya kichwa.
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,553
  Likes Received: 18,238
  Trophy Points: 280
  Federiki Sanga, umuhimu wa chopa hizo upo ila hebu nielimishe kidogo zingesaidia nini kwa basi linaloteketea kwa moto?. Au ni helcopter za zimamoto?!.

  Wahanga Poleni!.
   
 18. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ni waarabu wa wilaya ya Makete. Hawa jamaa wako juu. Swala la kumpoteza ndugu ni simple sana!
   
 19. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Hivi uarabu ni dini kumbe?
   
 20. y

  yany Member

  #20
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poleni watz mliopata matatizo hayo, bado tunawahitaji kwa mabadiliko ya nchi hii...Mungu awe nanyi!
   
Loading...