Jibaba la Miaka 31 Linalovaa Nepi za Watoto.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jibaba la Miaka 31 Linalovaa Nepi za Watoto..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Boflo, Mar 24, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [TABLE]
  [TR="bgcolor: #e1e1e1"]
  [TD] [​IMG]
  Stanley Thornton, Jibaba la Miaka 31 likiwa kwenye meza ya watoto akilishwa chakula[/TD]
  [TD] Friday, March 23, 2012 12:43 PM
  Duniani kuna mambo, mwanaume mmoja wa nchini Marekani mwenye umri wa miaka 31 kwa miaka 18 iliyopita amekuwa akiishi kama mtoto mchanga akivaa nepi, kunyonya vidole na kucheza michezo yote ya watoto wa miaka miwili.
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"] Akiwa na umri wa miaka 31, Stanley Thornton ana umbile kubwa sana akiwa na uzito wa kilo 133 na urefu wa mita 1.67.

  Pamoja na umbile lake kubwa, Stanley amekuwa akiishi kama mtoto wa miaka miwili kwa miaka zaidi ya 18 iliyopita.

  Stanley amekuwa akivaa nepi za watoto zilizoshoneshwa maalumu kwaajili yake, amekuwa akinyonya vidole na akivaa nguo za watoto na pia akilala kwenye kitanda kama cha watoto akibembelezwa na nyimbo za watoto huku akiwa amezungukwa na madoli kibao.

  Mbali ya hayo, Stanley analishwa kama mtoto ambapo amekuwa akiwaajiri wanawake kuigiza kama mama yake wakimlisha chakula kwa kijiko.

  Stanley hafanyi kazi na amekuwa akiishi kwa kutegemea pesa za kujikimu toka serikalini.

  Stanley anasema kuwa anajihisi salama zaidi na anafurahia maisha yake hayo ya kufanya kila kitu kama mtoto wa miaka miwili.

  Angalia VIDEO za Stanley chini.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3, align: center"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Man Obsessed With Being a Baby - YouTube

  Man 30 lives as an ' adult baby ' - YouTube
   
 2. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,877
  Trophy Points: 280
  kama gENIUSbRAIN
   
Loading...