Napata kigugumizi je wanaotukana na kukashifu binadamu wenzao kwa matusi kedekede | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napata kigugumizi je wanaotukana na kukashifu binadamu wenzao kwa matusi kedekede

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TEMILUGODA, Mar 24, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  NDUGU MWANAJF,PATA PICHA MUUMINI WA DINI YAKO ANAPANDA JUKWANI ANAANZA KUTOA HOJA ZA UONGO,MATUSI,KASHIFA,KUGAWA JAMII VIPANDEVIPANDE HALAFU KESHO ANAKWENDA MADHABAHUNI AKIJIITA YEYE SI MWONGO WALA SI MTU WA CHUKI ILIHALI AMETANGAZA WAZI KWAMBA HAPA DUNIANI ANAMCHUKIA MTU FULANI? Natamani Ethics za kuongoza nchi hii ziwekwe kwa manufaa ya kizazi cha nchi yangu Takatifu niipendayo.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ndo ubinadamu,watu wanatofautiana. Ukiwaza sana utachizika bure!
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Imekaa kimafumbo mafumbo, kajipange uli uilete nzima nzima ndiyo nitazungumza.
   
Loading...