Pole sana ndugu X-paster kwa msiba ulio kupata. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pole sana ndugu X-paster kwa msiba ulio kupata.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mahmood, Mar 22, 2012.

 1. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Ndugu Wanachama napenda kuwajulisha kuwa mwanachama mwenzetu X-paster amefiwa na mama yake.

  إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ

  Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un


  Hakika sisi ni wa Mungu, na Kwake Yeye hakika tutarejea.

  Pole sana Ndugu X-paster kwa msiba ulio kupata.

  Mwenyezi Mungu amlaze pahala pewa Inshallah, Amin.  [​IMG]


  Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu.

  (Quran 3:185)
   
 2. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Mwanachama huyu ni MODs wa Jamiiforums.

  Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
   
 3. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  pole kamanda tupo pamaja.bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Pole sana Mkuu. Mola ampe mapumziko mema Mama yetu Mpenwa na kuwapa ndugu faraja.
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pole sana X - Plaster mkuu, naomba tujulishwe utaratibu wa kumshika mkono X - Plaster ili hata kama tupo mbali lakini kwa kidogo hicho tutaonyesha umoja wetu katika kumfariji.
   
 6. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Pole sana mkuu! Mungu akujalie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
   
 7. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  M'mungu awafanyie wepesi wafiwa ktk kipindi hiki kigumu, kifo ni mtihani kwetu sote na kamwe hakizoeleki, m'mungu awazidishie subira na nyoyo za ucha mungu zaidi.
   
 8. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Ooh very sorry our beloved Jf member. Mungu na akutie nguvu na kuwa faraja yako wakati huu wa majonzi ya msiba wa mama yako.
  .
   
 9. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Pole sana Ndg. X~Pasters Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe... Amen.
   
 10. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Pole sana mkuu x paster.
   
 11. S

  Skype JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Inna lillah wa inna ilayhi raji'un.
   
 12. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inalilahi sauna ilahi rajiun.pole sana brother x paste.nakuombea use NA motor wa Subra NA mwenyezi mungu ailaze Soho marehemu Amina.
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pole sana X-paster

  Tufahamishe mazishi wapi tunaweza kuja kukupa pole,
   
 14. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,359
  Trophy Points: 280
  Pole sana X-P,
  Bwana alitoa, bwana ametwaa,
  Mapenzi yake yatimizwe
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sio X~pasters ni X-paster.
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Halafu X-Paster mwenyewe alishaweka thread hapa tangu majuzi kuhusu msiba wa mama yake, sasa huyu jamaa sijui alikuwa wapi!!
   
 17. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Pole Sana Mkuu.


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 18. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Ee Mola Msamehe… na Umrehemu…Muinue daraja yake awe wa karibu walioongoka… Wabadilishie kizazi chake kwa yaliyopita…Na Utusamehe sisi na yeye. Ee Mola wa Ulimwengu…Mpanulie kaburi lake…na Umtilie mwangaza AMIN.
   
 19. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  pole sana kaka ...Mwenyezi mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwako na jamaa na familia yenu wote...RIP ur mom.
   
 20. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  pole sana x-paster yote ni mipango ya Mungu.
   
Loading...