Je,Ben Saanane ana Bifu na uongozi wa Chadema?Ndiyo visasi vimeanza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,Ben Saanane ana Bifu na uongozi wa Chadema?Ndiyo visasi vimeanza?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ben Saanane, Jun 19, 2011.

 1. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Watu,

  Hapa JF sharia hazifuatwi hasa pale ambapo mtu wanaemtaka anaguswa unakuta Mods wanatoa thread au wanaihamisha.Huko nyuma nilishawahi kusema huyu jama hana tofauti na kikwete kwa visasi ,Haya hebu angalieni status yake ya facebook inaashiria nini?

  "
  Comrade Julius Malema amechaguliwa Tena kuongoza umoja wa vijana wa chama cha ANC Afrika Kusini (ANC Youth League),baada ya kuungwa mkono na mgombea mwingine Leobogang Maile aliyejitoa kwa maslahi ya vijana na chama.Katika mchakato huu vyama vya siasa vya Tanzania vinatakiwa kujifunza katika kuendesha chaguzi za mabaraza ya vijana.Tukubali changamoto,tufanye mazoezi mazito ya demokrasia"

  Log In | Facebook

  Sasa wale viherreherre sijui mtasemaje

  Nifungieni teana kama mlivyofanya huko nyuma,
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wewe ndio kiherehere unahangaika na yasiyokuhusu kama FF

  we are busy with budget issues, kakojoe ulale!!!
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Kwa wale ambao hamko facebook,mojawapo wa comments ni kama hizi,inaashiria nini?hapa alikua anamjib mchangia mada kwenye status yake aliyeenguliwa pamoja nae amabae ni member humu anaitwa Greyson. ‎" @Greyson,Tuko pamoja comrade...ni lazima tawala zote ,mamlaka zisizopenda challenge zijue kwamba there is a formidable spirit they cant stop,they must prepare for a long battle ahead.The evil club of Tyrants must be aware...as for the patr...iotic youth clubs,They must be aware of the responsibilities ahead,it is Sactas Simplicitas. They must avoid regular big stouting , suyaing , big stouting and peppersouping. Those are not the real issues. They must be prepared to immerse themselves in societal dialectics. They must put their nose to the grind stone. Again Mwanafalsafa Plato said," Those who are smart to engage in politics are punished by being governed by dumbs" pia OLYMPYA DUKAKIS anasema " Most of us are not real eager to grow, myself included. We try to be happy by staying in the status quo. But if we're not willing to be honest with ourselves about what we feel, we don't evolve. "

   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Peleka udikteta wako huko,ninyi ndiyo mnataka tuwape nchi na mawazo yenu ya udikteata hivi...mmelowa
   
 5. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huu ni uchafu ambao hauihitaji kujadiri, nyie ndio wendawazimu tena vichaa kabisa mnaye hitaji tiba ya akili umeomba kuwaongoza wati wenyewe wame kukataa malalamiko yote hayo ya nini au ulikuwa nalengo tofauti na kuongoza? kama ndio malengo yenu ndio yaleyale ya wa chumia tumbo ondokeni mapema maana mipango yenu haitafanikiwa hata kidogo labda muende kwenye magamba.
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe mtu utakua huna akili timamu,
  yaani unaongelea vitu humu kwa Greatthinkers halafu una-refers facebook? unafananisha, kulinganisha na kupambanuaje hivi vitu viwili wewe?
  unaionaje hii forum wewe?
  Ukweli umeidhalilisha sana forum, inatakiwa uombe radhi.
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Duh! Nuklear naona umeamua kupambana na Ben hadi kieleweke...
   
 8. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo Ben mbona yuko sahihi sana tu sioni tatizo kama mtoa hoja unvyosema.

  Na katika comment zake ame toa nukuu makini sana.

  Ni lazima ktk maendeleo mabadiliko yenye tija yafanyike ,CDM kinaukuwa lazima kikubali challenges la sivyo hakita endelea ......
   
Loading...