Umeme zanzimbar ushakuwa keroooo

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Ikipita siku moja siku ya pili wanakata umeme kwa masaa mawli kuanzia saa mbilia mpka saa nne nashindwa kuelewa kama ni mgao ni nani huyu anayepata umeme kwa masaa mawili tu? One day on another day off
 
Tengenezeni umeme wenu, kwani umeme nao ni swala la Muungano?
 
Ikipita siku moja siku ya pili wanakata umeme kwa masaa mawli kuanzia saa mbilia mpka saa nne nashindwa kuelewa kama ni mgao ni nani huyu anayepata umeme kwa masaa mawili tu? One day on another day off

Bora hata ukatike katike! Bili zenu kule bara TANESCO mnazilipa? Haki bila wajibu uliiona wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom