Kweli kabisa Waafrika ni kizazi cha Afriti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli kabisa Waafrika ni kizazi cha Afriti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zomba, Mar 26, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nasikiliza habari sasa hivi kupitia channel 10, nasikitika sana kusikia kuwa bara la Afrika linapeleka ughaibuni zaidi ya US Dollars billioni 40 kwa mwaka zinazopatikana kwa njia za rushwa.

  Hivi kweli unapokea rushwa fedha zote unawapelekea kizazi cha mungu "wazungu". Fedha ambazo mwishowe huishia kubaki huko huko ukipenda usipende.

  Wazungu wakiona unataka kuzihamisha kwa wingi wanakugeuka tu na kukwambia huna fedha hapa, uliweka kutoka wapi? Unalo la kuwajibu?

  Wapokea rushwa hakikisheni mnaanza kuziondoa kidogo kidogo hizo fedha na kuzirudisha nchini muwekeze hapahapa, badala ya kuwaamini na kuwaneemesha wazungu, ni bora muwaamini ndugu, jamaa na marafiki zenu kwa kuanza kuwekeza hapa hapa.

  Mtu anaiba nyumbani kwao anapeleka nje! hii ni akili ya kijinga sana, ni lini tutapata akili jamani? halafu tunasema oohh hatuendelei, tutaendelea kwa njia hizi? Wazungu wakipokea rushwa wanawekeza huko huko kwao hawawaletei nyinyi huku, wakiwekeza hoteli huku pwani zenu, wanahakikisha mnawapa vibali vya kuondoa tena hizo fedha na faida kurudi kwao na kuwa za halali.

  Nyinyi mnaiba kwenu mnapeleka kwao!!! Upumbavu wa hali ya juu, inauma sana.

  Hivi kwanini mnafanya hivi enyi kizazi cha Afriti?
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  .
  Wanatakiwa wafundishwe mila na desturi za wachaga. Wanaiba ugenini na kujenga nyumbani.
  .
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280


  ni kweli kabisa aisee sijui kwa nini hawa waafrica hawaibi na kuwekeza makwao. Wanatia kinyaa. Heri wachaga waligundua siku nyingi umuhimu wa kuwekeza hm kwao.
   
Loading...