Sugu abuni gari lenye jina lake!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu abuni gari lenye jina lake!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Mar 18, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Kijana ambaye al-maarufu kama said sugu mkazi wa mombasa mjini unguja(zanzibar) amebuni gari aina ya sugu yenye muundo wa bajaji,akichezesha taya na mtangazaji wa star tv,said sugu alisema gari yake imemgharimu sh za kitanzania mil2 na imemchukua mwaka m1 kulikamilisha,mbunifu huyo sugu mwenye elimu ya darasa la 11 amesema gari yake ina uwezo wa kutembea km20 kwa lita 1 na ina max speed ya 60km/h! Wadau Tumpe support maana amelalamika serikali(kupitia,WS na Elimu ya juu) awamsaidii.


  oie_22192214SBYZ6XXl--back.jpg
  oie_22192433XSsW3w5g--sugu mtangazaji.jpg
  sugu star tv.jpg

  Nawasilisha.
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  jf bwana!!!!
   
 3. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,038
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sugu wa kuchovya au wa mabox
   
 4. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Big up sugu??
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hii support unayotaka tumpe ndo inanipa mashaka...
  tumsapoti vipi?
  kwa kununua gari yake au?
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  picha???????????
   
 7. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  tunaomba picha ya hiyo gari ili tuione ndio tumpe hyo support.
   
 8. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Amebuni gari au ameungaunga gari?....mi nilijua amebuni gari linalotumia maji ya bahari badala ya petrol!:thinking:
   
 9. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Angalau amejikomboa
   
 10. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  tunaenda mbele au tunarudi nyuma.
   
 11. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hilo gari sugu limenunuliwa na wizara ya sayansi na teknolojia.
   
 12. Walikughu

  Walikughu Senior Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nilijua yule mh. kumbe ni mwingine Hongera sana kwa ubunifu
   
 13. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Haya sugu; amebuni au amebadili jina la gari na kuita sugu?
   
 14. LEARNED BROTHER

  LEARNED BROTHER JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Ni vema ungefafanua aina ya support ambayo ungependa tumpe? weka Picha please.....!!!
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  picha yake inapatikana?
   
 16. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mnataka picha ya sugu au ya gari? Be specific guys.
   
 17. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Vyote!!!
   
 18. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Habari imekaa kima ghumashi zaidi sasa kama mtu anatka support hamna hata contact wala maelezo yanayo jitosheleza anataka support gani huyo?
   
 19. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Juzi nilikuwa naongea na jamaa yangu nikamwambia kwa sasa kila kitu kimeshagunduliwa na 'wazungu' sasa mtu anagundua gari leo wakati magari tunayatumia siku zote, huyo amechakachua...
  Anyways hongera mgunduzi.
   
 20. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,663
  Trophy Points: 280
  Hapa umeuliza au umepongeza??
   
Loading...