Kawnini Anne Makinda anasema zitaundwa kamati nyingi teule za bunge?

Kimbojo

JF-Expert Member
Apr 12, 2009
387
54
Alipokuwa akifunga kikao cha bunge jana tar. 19/11/2011 spika wa bunge Anne Makinda alisema zitaundwa kamati teule za bunge nyingi tu, alikuwa anamaanisha kuwa kuna uozo mkubwa ndani ya serikali na taasisi zake kama ilivyoonekana kwa wizara ya nishati na madini ? au alikuwa na maana gani?
 
Aliposema hivyo alikuwa na maana hiyo kwamba kuna uozo mwingi. Na vipi mabaraza ya madiwani hayana uwezo wa kuunda kamati teule maana huko katika halamashauri ni uwizi na ubadhirifu kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom