Kigezo cha uteuzi wa RC'S na DC'S | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigezo cha uteuzi wa RC'S na DC'S

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MANGI1979, Mar 26, 2012.

 1. M

  MANGI1979 Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati serikali ikisisitiza watumishi wake wajiendeleze kusoma ili kukabiliana na mabadiliko ya ulimwengu,serikali hiyi hiyo inateua viongozi wa nyadhifa nyeti kama hizo huku baadhi wakiwa hawajaenda shule kikamilifu eti kwa sababu ni heshima kwake ooh unajua yeye ni kanali au jenerali alipigana vita vya kagera akamwondoa nduli.fine na hongera zake mpiganaji.kwa nini asitumikie relevant field of his proffesssion unamleta kuchapa waalimu viboko na kuwarusha kichura?nasikia wengi wanasaidiwa na rasi na dasi ambao wengi ni cream product ya mzumbe.eti ikija barua iliyoandikwa ki'oxford anasema yupo busy kama mlango wa daladala anawahi kumpokea mhe airport,au ana kikao,au anaenda kusimamia zoezi la kugawa vyandaruwa eti rasi au dedi aisome aijibu kisha yeye ataisaini!!!!!!mkuu unaona hiyo impact ya masoja?
   
 2. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hoja yako haijatulia. Wanajeshi wanasoma fani mbalimbali na hata kufikia viwango vya juu. Jipange urudi tena vizuri
   
 3. M

  MANGI1979 Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe matango ni soja mtoto wa line?pole kamanda.dingi yalimkuta nini? mfundishe tition sio tuishieni
   
Loading...