Tanesco mna kichaaaa gani

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Shirka la uma hili zamani walifanya kazi zi kiuma kweli lkn sijui siku hizi wameingiwa mdudu gani basi pamoja na hadhia tunayopata kutokn na huo umeme siku za nyuma kidogo TANESCO walipo kuwa wanakatizo la umeme either wana fanya marekebisho au vingn walikuwa wanatoa NOTES na matanagazo katika vyomba vya habari redio na tv ili watu wajiandae kuzima vifaa vinavyo tumia umeme lkn siku hizi TANESCO ina zima na kuwasha umeme kama mtu anazima na kuwasha kibatari tv na fregge zimeungua aua kupata mishutuko ya umeme wa ghafra mbna WATANZANIA tumekosa wapi tukimbilie
 
Comrade wamechakachua sana mitambo yao kiasi kwamba hata wao hawajui muda wa kukatika kwa umeme yaani kama wakitaka kutoa NOTES Basi watakuwa wanatoa NOTES kila siku maana kila siku ni makatizo ya umeme tu,tunahitaji nyavu au kutolewa huku tuliko kama Taifa
 
umeme unakatwa kma vile raia hawana haki,hakuna tangazo la katizo la umeme.mara washa zima washa usalama wa vifaa vyetu upo wapi manina zao!
 
kama huku kijichi ndo kabisa yani utadhani tunaugomvi na mkuu wa tanesco.
 
Mi niliwahi kujiuliza labda kuna wanafunzi wako field wanajifunza jinsi ya kukata na kuwasha umeme!
 
Yaani hawa wanajifia taratibu!!!Jana Jumamosi walikata umeme saa 2 asubuhi,hakukuwa na taarifa yoyote,wakaurudisha leo (Jumapili)saa 2 na nusu!!Good 24 hours without an excuse!!!
Leo ndio kama vile mtoto anacheza na switch, mara zima ,mara washa!!Yaani wanatia hasira mno!!
 
Zingatieni taarifa ya TANESCO kuwa kutakuwa na katizo la umeme baadhi ya maeneo ya DSM kwa sababu ya kuunga line ya msongo mkubwa wa 132kV katika kituo cha kupoozea umeme Ubungo na Kufunga LBS kwenye njia ya FZ3-1&2 na U1 ili kurahisisha uzimaji wa line wakati inapopata hitilafu na kurahisisha kugundua eneo la hitilafu kwa urahisi na haraka. Hivyo usishike waya wowote uliokatika badala yake toa taarifa kwa ofisi za kanda za TANESCO Kinondoni Kaskazini (Mikocheni):0716768584; 0784768584 au Kinondoni Kaskazini (Magomeni): 0768985100; 0784271461; 0784078837 au 0788379696. Katizo litakua maeneo ya Sinza, Goba, Ubungo Kisiwani, Mabibo Jeshini, Makuburi (External, Barabara ya Mandela, Mabibo Hosteli, Kibangu).
 
kumbe kuripoti mnajua ila mnafanyaga fyongo makusudi mtulipe tv zetu na friji zetu mnazo haribu kwa makatizo yenu yasiyo zingatia kama kuna athhali katika kuzimazima kwenu umeme bila kutoa taarifa
 
vichaa sie tunaongangania umeme wa maji mpwa hamia uone kama utasikia kelele
 
Back
Top Bottom