Anusurika Kufa akinajisi kitoweo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anusurika Kufa akinajisi kitoweo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpigaji, Mar 25, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkazi mmoja wa kijiji cha Mwamalasa wilayani Kishapu,juzi alinusurika kufa baada ya kupokea kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa wananchi wenye hasira waliomkuta akimwingilia kimwili Mbuzi wa jirani yake.PATA MKASA KAMILI HAPA
   
 2. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Insane!
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Haiyumkini ni mambo ya ushirikina hayo
   
 4. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dah; K sikuizi hadi mia mbili unapata. wanaharakati wa haki za wanyama inabidi wamshugulikie, aswekwe gereza la mashababi wamkune.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Apimwe akili usikute taahira aka crazy au mambo ya manyanga!! Kei za kukinga zote hizo haoni??
   
 6. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inaweza ikawa ni 'ukame' tu...!
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Huenda ngenga ilimzidi mkuu haaa haaa haaaaa!!!
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,558
  Trophy Points: 280
  Karibia wachunga mee wote wanafanyaga hivyo. sijui kuna utamu upi.
   
 9. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Wamfungishe ndoa na asimamiwe maisha hayo just wani manth.
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Jamaa alikuwa na ukame wa muongo mmoja
   
Loading...