Komba ndani ya monduli,muda huu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Komba ndani ya monduli,muda huu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzizi dawa, Mar 26, 2012.

 1. m

  mzizi dawa Senior Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Abari zakuaminika toka mtoa abari wangu,kwamba aijafaamika bado kua MUESHIMIWA KOMBA amefuata nini kwa mbunge wa Monduli,MUESHIMIWA KOMBA ameonekana akiwa na usafiri wa gari aina ya Costa,akiwa yeye na derevatu,akiulizia kwa mbunge wa monduli.makamanda mlio neru tuwe makini na uyu mtu pia abari ziwafikie maafisa watakukuru sababu aiwezekani komba asafiri na costa,izo nimbinu zakupoteza maafisa watakukuru malengo.
   
 2. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  amefuata hela za rushwa aje kugawa arumeru
   
 3. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hivi bado yupo Arumeru, mimi nilidhani wameshakata tamaa wakarudi.
   
 4. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Ameenda kutafuta Vibwagizo vya kuimba Arumeru kwa EL kama CCM kitashinda.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Vip kashapona mguu?
   
 6. m

  matawi JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Aise nilimuona juzi airport mguu wake hauko vizuri.. Ndo yale mamabo ya ma.g.mba kulogana au? Maskini mzee wa watu si ahamie cdm
   
 7. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba presha inapanda, presha inashuka.
   
 8. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,948
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  heh heh umenidhekesha sana na vibwagizo vyenyewe ni ''mamvi nambari wani wee'' halafu anasinzia kidogo akiamuka ''mamvi presidaa ajae'' anasinzia tena
   
Loading...