Nimeamua kujiunga na CHADEMA kung'oa MZIZI WA FITINA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamua kujiunga na CHADEMA kung'oa MZIZI WA FITINA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by President Elect, Mar 26, 2012.

 1. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa hali jinsi inavyotokota ndani ya CDM hivi sasa, nimeona nijitoe mhanga na kujiunga na chama hicho ambacho ni tegemeo la mwananchi wa kawaida.

  Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha CDM kinabaki kuwa imara kuelekea 2015.

  Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania.

  PEOPLES ....... POWER!!!
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kweli Kiswahili kigumu
   
 3. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kigumu kama chama cha mapinduzi
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160

  Wewe tu! Wenzio tumeelewa!
   
 5. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  zito amenifundisha mengi sana leo
  ogopa mtu anaesema ameamua kugombea kisa ameombwa na watu fulani ama kwa sababu fulani mwogope kama ukoma hivyo natangaza rasmi nami nautaka uraisi najua procedure lazima zifwate lakini naweka wazi sijaombwa na yoyote kugombania ila natangaza nautaka urais

  sasa wewe unaehama chama kwa kungoa fitina ukiingia ndani si ndio unatupandia wakina """"shibuda stereeeeooo"""
  loh
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  wewe nani?
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,390
  Likes Received: 3,719
  Trophy Points: 280
  mwana JF
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Haujasema umejiengua kutoka chama gani??Umejiunga kutoka mbinguni!!??
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo kwenye red sijaelewa kabisa.
   
 10. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 160
  ...kwa hali ya maisha ilivyo ngumu inayoambatana na ukosefu wa ajira ata mimi natatuma maombi kuomba hiyo nafasi angalau na mimi niweze kurekebisha maisha ya familia yangu...kama kazi yenyewe ni kuongea na wazee wa dar na kupanda ndege kwenda nchi za nje na kurudi!,nani itamshida?...BASIASI ndugu yangu ukisikia fomu za kuomba kugombea uraisi zimetoka nijulishe tafadhali...
   
 11. N

  Neema William Senior Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  karibu sana kamanda katika mapambano, tunaamini tukuiunganisha nguvu pamoja tutafikia malengo, uamuzi wako ni mzuri na una mashiko, Pepoles....................
   
Loading...