Huu ndio unafiki wa Ndesamburo na pesa zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ndio unafiki wa Ndesamburo na pesa zake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mujumba, Mar 26, 2012.

 1. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo KEYS HOTEL kufatilia ujira wao ambao umekuwa ukicheleshwa bila sababu ya msingi! sasa huyu babu anawezaje kumwaga mamilion kwa chama ilhali vijana wanaoumuingizia mamilion hayo wakiishi katika dimbwi la umaskini? HUU NI UNAFIKI
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Yeye kama CEO yawezekana hajui matatizo hayo!!Matatizo yapo katika Management ya chini!!siyo wakulaumiwa yeye!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Madai yako ni general mno, jaribu kuwa SMART!
  Taja at least tukio mojawapo kama unamaanisha, na kama una uhakika!
  Vinginevyo hizi ni chuki binafsi na wivu wa kike!
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanalipwa shilingi ngapi unaououta ujira mdogo?
   
 5. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  empty skull. Umetumwa na wanaokupumulia kisogoni, waambie its too late.
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
   
 7. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  pesa ndogo sana, eti kwa kisingizio wanapata "TIP" toka kwa watalii, tunawasiliana na kiongozi wa kilimanjaro porters association tuweze kupata figure za ukweli
   
 8. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Anzisha kampuni yako na uwalipe mamilioni kwa wiki, kama Mesi wa Barca.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kabla sijachangia huu uzi ebu nijibu maswali yangu!

  1.Kwan Ndesapesa ndio ofisa muajiri na meneja wa keys hotel?

  2.Hizo mil20 zimetokana na mapato ya keys hotel?
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Wewe ni mmoja wa hao vijana? Je,wewe ndio msemaji wao? Na Je,wanalipwa shilingi ngapi? na Je,unajua kuwa kuna aina nyingi za mikata ya kazi? kuna ya muda mfupi,mikataba na ya kudumu? Je,una taarifa hao vijana wapo kwenye group gani kati ya hayo hapo juu? Nawashangaa sana watanzania,yani akiibuka mtu anayetaka kuwakomboa toka kwenye mkoloni mweusi CCM ndio mnaanza kumpiga vita.Nadhani watanzania wana pepo si kawaida.
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  @Kashaga, naona umeharakisha sana kuweka madai yako hapa JF. Fuatilia tena kwa karibu na utagundua kuwa wengi wa vijana wanaopanda mlima na watalii wanatoka kwenye kampuni ndogo ndogo. Na hizo kampuni zinapata wateja toka kwa Mzee Ndesamburo ambaye huleta watalii kupitia kampuni yake. Hivyo yeye sio direct employer kwa kila kijana anayepanda mlima na watalii. Kwa maneno mengine, uwekezaji (wa ndani) unaofanywa na Mzee Ndesamburo una-stimulate uchumi wa Moshi kwani watu wengine wameweza kuanzisha kampuni ndogo ndogo wakitegemea tender toka kampuni kubwa ya mzee Ndesamburio. Na amefanya hili kwa mafanikio makubwa.

  Pia nataka nikuhakikishie, kama sio mizingwe ya ccm inayosimamiwa na Bi Kinabo, Swai na wengine Mzee Ndesamburo angekuwa amefanya mengi zaidi ya hayo aliyofanya. Mara nyingi amekuwa ANAZUIWA kuendeleza maeneo yanayowagusa wananchi wa kawaida moja kwa moja kwa sababu tu yuko CHADEMA! Mfano ni soko la Kiboroloni. Bila aibu serikali ya ccm walisema lile eneo ni la viwanda! Viwanda gani kiboroloni wakati ccm hao hao wameuwa machine tools, kiwanda cha magunia, kiwanda cha ngozi?

  Yapo mengi lakini nadhani summary hii inatosha kwa sasa.
   
 12. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  kama unakuwa na unamiliki kampuni then hujui unawafanyakazi wangapi, hujui wanalipwaje? then wewe utakuwa punguani
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hivi hapa tunachangia nini au kuna hoja gani?
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  we ni mmbea na mnafiki mkubwa, haya madai uloleta hapa ni ya uongo na lengo lako ni kumchafulia babu, ulichotaka kusema hapa ni kuwa ndesa anaminya posho za vijana na kuzitoa chadema jambo ambalo si kweli kwani mzee anamahoteli mengi hadi nje ya nchi na anatoa misaada kwa wakazi wengi wa Moshi.
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nenda kaoge kwanza ndo urudi hp jf
   
 16. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Wewe ndiyo mnafiki
  1. tuwekee anawalipa kiasi gani na makampuni mengine kama Zara wana walipa kiasi gani
  2. hivi unapo changia ni kwamba huna matatizo mbona mengi naweza kusubutu kusema ndiyo matanzania anaeongoza kutoa misaada hapa tanzania je ni kwamba wafanya kazi wake hawana shida, je ni kwamba wafanyakazi wa IPP wanalipwa vizuri sana...
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Acha uongo,... Mzee Ndesa anawasaidia sana vijana wa moshi hakuna asiyelijua hilo. Wewe utakuwa unasumbuliwa na wivu au umetumwa!
   
 18. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Are you Kashaga who was formerly at Eget? If yes, I want to contact you.
   
 19. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  afanye nini kwa serikali zembe isiyofuatilia maslahi ya wananchi wake??
  Eeti nao wanawizara ya ajira duuu!
  Magamba mnaweza kutembea na smg tuu na uzinzi!
   
 20. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kashaga ni baadhi ya wana CCM ambo hata Mzee Mengi anapotoa misaada ya kijamii ukimbilia kuuliza kwa nini hizio hela asingewapa wafanyakazi wa ITV/Radio one nk...... sasa hayo ni mawozo ya kijinga sana. Unaposaidi chama au kikundi hata kama ni shiling 10, empact yake ni kukwa sana kuliko kutoa shiling 20 kwa mtu moja.... tafuta wachumi wakueleweze
   
Loading...