Ushindi wa upinzani kiti cha urais senegal unatufundisha nini tanzania?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushindi wa upinzani kiti cha urais senegal unatufundisha nini tanzania??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Mar 26, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Ujio wa rais mpya kutokea upande wa upinzan nchini senegal umetuonyesha ipo siku
  kuna muda na wakati tanzania itabadilika...itabadilika kivipi rais wade aliweza kubadili

  katiba bila kujua wananchi ndio wanaoamua nani wamweke pale ikulu...ilikuwaje inafika
  wakati haki ili ipatikane tusiogope kumwaga damu ili haki ipatikane..aikuwa rais kuona
  senegal kwa mara ya kwanza wakichapana makofi na jeshi na wanachi kuchoma magari ovyo
  si hivyo tu kuna wakati viongozi wa upinzan ambae leo ni rais mpya wa senegal aliddiriki kuchapwa makofi na wanajeshi ambao leo hii kama si siku zijazo anaenda kukagua gwaride lao

  muungano wa upinzani
  aikuwa rais kushinda kama siasa za watanzania tunavyoamini baada ya asilimia 50 kutofika kwa rais aliekuwa madarakani wade ilibidi ipigwe raundi nyingine...vyama vya upinzani avikufanya kosa hata kidogo kujitokeza hadharni na kuungana na kuamua kumuunga yule mpinzani anaaeenda kupambana
  na wade ambae nimeona ametoa chozi akitangaza wasenegal wameamua lakini si tu kuamua

  kwa nini amekubali kuondka kwa mauwaji ya wananchi 275...nani anatakiwa kujieleza hili
  naamini rais mpya atamweka kiuongoni wade ajieleze kwa nini aliruhusu mauwaji ya wananchi

  mwisho nduugu zanguni watanzania hii ni mara ya tatu kuona ushindi wa upinzani juu ya viongozi waliojilimbikizia mali na kubadilikatiba kwa ajili ya kuendelea kuwanyonya wananchi pamoja na hayo akuna upinzani halisi zaidi ya kuungana na kushirikiana na si hii viini macho kila mtu anagombania urais anagombania udiwani anagombania ubunge iffike wakati kama tumedhamiria kubadili nchi yetu lazima muungano halisi uwepo wa kuweza kuondoa chama kilichopo madarakani

  nawatakia maisha mema na yenye utulivu wasenega wote na kauchana na yaliotokea ila naomba mh rais mtrajiwa wade asibaki na usingizi lazima aeleze vile vifo vya wananchi wa senagal mbaya nina picha ya watoto wakiwa wameuwa wakienda shuleni mungu awape mwanga wa milele
   
Loading...