MgungaMiba
JF-Expert Member
- Aug 28, 2011
- 999
- 815
Baada kuona ccm imezidi kumsakama kwa wapiga kura kuwa hafai kwenda Bungeni sababu mke, mgombea ubunge wa CDM Bw Nasari leo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni hii mjini Usa River, alijibu mapigo kwa kuwataka ccm wakahoji kwanza kuwa mbona Spika wa Bunge Bi Anna Makinda hana Mume? Nae Godbless Lema aliwaambia wapiga kura wamchague kijana wao Nasari aliyezaliwa na kukulia na kusomea Arumeru akawawakilishe Dodoma, wasimchague Mvaa Kihereni kwani Dodoma hakuna mashindano ya Mamiss Walimbwende, huyo mvaa Kihereni aende Mombasa ndio kwenye wenzake, kisha akaanza kuimbisha " Mtoto huyu vipi? Mtoto huyu si riziki!