Miracles in Russia

3335442.jpg

Mojawapo ya maandishi kwenye mwili wa mtoto huyo

Wanasayansi na madaktari nchini Urusi wamestaajabishwa na mtoto mwenye umri wa miezi tisa ambaye mwili wake umekuwa ukitoa maandishi katika lugha ya kiarabu yakinukuu vipande vya maneno katika Quran.

Wanasayansi nchini Urusi wameshindwa kujua ni nini kinapelekea mtoto anayeitwa Ali mwenye umri wa miezi tisa, mwili wake uwe unatoa maandishi tofauti tofauti ya kiarabu mara kwa mara.

Televisheni ya Vesti news ya nchini Urusi ilionyesha video ya mtoto huyo na picha ambazo wazazi wake wamekuwa wakimpiga kila maandishi mapya yanapotokea.

Kwa mujibu wa wazazi wake wanaoishi kwenye mji wa Dagestan, siku mbili baada ya Ali kuzaliwa herufi za kiarabu zilianza kujitokeza kwenye miguu yake na baada ya siku kadhaa zilianza kutengeneza maneno kamili.

Maandishi tofauti tofauti ya kiarabu hutokea zaidi kila siku ya jumatatu na ijumaa kwenye sehemu mbalimbali za mwili wake.

Awali kulikuwa na alama za maandishi yaliyofifia kwenye kidevu chake na baadae maandishi hayo yalijitokeza wazi yakisomeka "Allah", alisema mama wa mtoto huyo Madina Yakubova.

Miongoni mwa maneno ambayo yamesomeka wazi ni yale yanayosema "Waonyesheni watu dalili za kuwepo kwangu".

Kwa kushangaza zaidi kwenye mguu mmoja wa Ali yalijitokeza maandishi yaliyosemeka "Allah (Mungu) ndiye muumba wa vitu vyote".

Ali alipozaliwa aligundulika kuwa na matatizo makubwa ya moyo wake na ugonjwa unaoathiri zaidi ubongo unaoitwa "cerebral paralysis" lakini alipopimwa tena baada ya maandishi hayo ya kiarabu yalipoanza kujitokeza aligundulika hana matatizo yoyote na afya njema.

Madaktari nchini Urusi hawajui ni nini kinaendelea kwenye mwili wa mtoto huyo na wamekiri hawajawahi kwamba hawana jibu la kutoa kwa taaluma za kisayansi.

Kwa Maelezo zaid ponyeza link hii http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3335442&&Cat=7
 
JINII at work. Majini yakijaribu kuwatia binadamu majaribuni. Devols can also perform miracles, hayo ni kama mazingaombwe ya waganga wa jadi. Mwamini Yesu atakufikisha kwa baba aliye mbinguni, achana na hbr za mazingaombwe yanayoratibiwa na shehetwani.
 
wana macho lakini hawaoni, na wanamasikio pia hawasikii,( we kaa na dhana yako kuwa ni jini) kama hutoipa uhuru akili yako na kutafakari hali halisi ukaendekeza mapokeo, basi macho yako yanayoona ukweli hu ndio yatakayo kutolea ushahidi.
 
Kwenye imani za wenzako unatakiwa kuheshimu kile wanachokiamini
Mie na Yesu wangu mpaka kufa.
OTIS
 
GOD IS GREAT.....Tunamasikio lakini hatutasikia,tunamacho lakini hatuta ona yameandikwa ktk vitabu vitakatifu....pia MUNGU amesema atatuonesha ishara zake kwa kupitia binadamu,wanyama,milima iliwasio amini wapate kuamini.....lakini wenye chuki zao watasema kua ni majini acha waseme kwani ata FARAO au FIRAUNI ilikua km hivi MUNGU alimtumia dalili nyingi sana za kumwambia kua mie ndo mola wako na vyote vilivyomo lakini aliibuka na mawazo ya mjini na uchawi wa nabii MUSSA yaliomkuta twayajua....mbona tumeona ata dalili za YESU mawinguni mbona hamkusema nazo ni dalili za majini? MUNGU YUPO NA DALILI ZAKE NYINGI ZINAPITIA KTK WATOTO AMBAO NI MALAIKA....Tumuombe mungu atunusuru na mioyo km ya FARO/FIRAUNI ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen......allah akbar allah akbar allah akbar
 
Back
Top Bottom