Tumepigwa na jua pamoja pale shule ya msingi mchikichini, tumebebana mzungu wa nne pale mabibo.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumepigwa na jua pamoja pale shule ya msingi mchikichini, tumebebana mzungu wa nne pale mabibo..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Juan San Roman, Mar 26, 2012.

 1. J

  Juan San Roman Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumepigwa na jua pamoja pale shule ya msingi mchikichini, tumebebana mzungu wa nne pale mabibo, tumegombania pamoja mashato, tumepiga deshi pamoaj, tumepiga shato pori pamoja from bibo to mlimani, tumedesa pamoja, tumekamatwa (kuliwa vichwa) pamoja na karagami, leo ndugu yangu when it comes to distribution of national cake, waniambia mm si mtanzania mzalendo, inauma sana but jua ya kwamba dhambi ya ubaguzi itakuangamiza one day...nitaendelea na mapambano kujikumboa mm na wale wote ambao wameadhirika na mfumo unaokandamiza haki za walio wachache ( Minority Rights). As long as nina haki ya kupiga kura basi jua kwamba mchango wangu ni muhimu sana katika hayo mnayoyaita mapambano ya kidemokrasia.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,143
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  unamwambia nani?
   
 3. J

  Juan San Roman Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni ujumbe kwa wote wanao endekeza, chochea na kushabikia ubaguzi wa any forms, uwe wa kijinsia, kirangi, kikabila, na asili ya mtu.
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,331
  Likes Received: 3,538
  Trophy Points: 280
  Weka wazi tu kuwa unawaendea MAGAMBA...
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  by.zitto z.kabwe!
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,527
  Likes Received: 2,451
  Trophy Points: 280
  Peleka kwa Shigongo, imekaa kiudaku udaku.
   
 7. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Huyu atakuwa mhindi tuu!!!
   
 8. K

  Kyanyundu Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulipenda mwenyewe..
   
Loading...