Breaking News: Moto walipuka soko la Kigoma mjini

bullet

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
1,047
537
Moto ambao chanzo hakijajulikana umelipuka katika baadhi ya maduka ya soko Kigoma mjini!
Kikosi cha zimamoto na polisi wamewahi na kuudhibiti moto huo. Wenye maduka yaliyo ungua hawajapatikana.
Source: mimi mwenyewe
 
Tulizoea moto huko mbeya, sasa na kigoma pia?!, ngoja tusubiri.......
 
Ni ajabu na kweli nimeshuhudia tukio hilo na nilicho jifunza na kwamba wananchi hawa taadhari yeyote na uwelewa wa madhara yanayoweza kutokea.Watu wengi walijikusanya karibu na moto huo pasipo taadhari na kwa kipindi kirefu hapakuwa na mtu wa kuwapa taadhari ya kuwa mbali na eneo hilo ili kuepusha madhara ambayo yangeweza kutokea.
 
Back
Top Bottom