Pipoz pawaaaa...!

Pipoz pawaaaa...!

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
2,209
Reaction score
825
PIPOZ PAWA.jpg

chama cha sisiem kinavyoondoka na kizazi chake...! R.i.p
 
Hii nimeipenda saaana, isiishie Arumeru tu, inabid hii kitu ienezwe nchi nzima hasa kwa watoto na vijana, wakiona mtu kapiga nguo za magamba ni kumzomea na kumuonyesha vidole viwili ishara ya ukombozi. Hii ndio M4C yenyewe...!!:violin:
 
Nimeipenda sana hiyo, kizazi korofi na chenye kutafakariiii sana bila kusimama!!!!
 
Back
Top Bottom