Treni laishiwa mafuta katikati ya pori | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Treni laishiwa mafuta katikati ya pori

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Michael Amon, Mar 30, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Katika hali ya kushangaza treni la Kampuni ya Reli (TRL) iliyokuwa ikitoka Mpanda kuelekea Tabora Machi 23 mwaka huu, iliishiwa wese (mafuta) katikati ya pori na kuwaweka roho juu abiria waliokuwa wakisafiri.

  Akizungumzia tukio hilo Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Athumani Mfutakamba alisema kitendo kilichofanyika ni cha kinyama na hakikubaliki katika utendaji wa kazi za shirika hilo na kwamba wamejipanga kuhakikisha matatizo kama hayo hayatokei tena.

  Alisema kwamba haiingii akilini treni kuishiwa mafuta njiani wakati bajeti ya mafuta inajulikana.

  Tayari watumisho watatu akiwemo dereva wa treni wa Kampuni ya Reli (TRL), wamesimamishwa kazi katika sakata la kusababisha treni ya abiria kusimama porini baada ya kuishiwa mafuta.

  Mhandisi wa TRL, Muungani Kaupunda alithibitisha hilo.


  E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Haki za abiri?!, wamelipwa fidia ya kuwekwa roho juu na kucheleweshwa kufika wanakoenda?!
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  umelala usingizi wa namna gani? tukio la 23rd ndo unaibuka nayo 30th?
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  thubutuuu,TANZANIA HII HII?AU
   
 5. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi hii inavyokwenda utadhani ni kambi ya mafunzo ya 'wanamazingaombwe' kila kituko kisicho patkana popote duniani hapa utakipata. Tusubiri ndege ya atc kuishiwa wese angani
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Nakuunga mkono: ona maajabu haya, gari la rais kukataa kuwaka baada ya kuweka mafuta machafu; rais kulalamika kuwa bank ya CRDB sasa siyo ya ushirika tena hivyo inabidi kuunda bank nyingine itakayo jihusisha na ushirika; rais kuwashitaki madaktari waliogoma kwa wazee wa dsm; nchi kutokuwa na ma-DC kwa miaka 2 nk.........
   
 7. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  sio kwa tanzania mkuu fidia ndo hiyo ya kusimamisha watu kazi na kuwarudisha kwa madai ushahidi hautoshi
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bora usingizi inaoneka ndio limekuwa publish leo chezea bongo wewe..
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Serikali inalikumbuka hilo? Hiyo inaitwa imekula kwako mkuu.
   
 10. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Duh! Hii kali mkuu.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ingekua china wangekua ndugu washawazika mda mrefu,kwakua ni tz basi hz movie zipo nyingi sana,hayo
  Maneno ya naibi waziri ni soundtrak tu
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  hiyo ni made in Jakayaland!
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Sio Tanzania land?
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Yaani zipo za kutosha.
   
 15. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Young Master picha uliyoweka ni ya Reli ya Uhuru/TAZARA na sio ya TRL...
   
 16. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Waziri aache kulalama tu wakati naye hafai
   
 17. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu. Iyo picha niliyoiweka sio picha halisi ya reli ya reli ya TRL. Nimeitumia kama mfano tu ili watu waweze kupata picha halisi ya kilichotokea.
   
Loading...