Mchezaji wa MORO UTD azimia uwanja wa CHAMAZI

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Golikipa wa timu ya Soka ya MORO UTD leo alizimia uwanjan wakat mchezo ukiendelea,
Kutokana na kutokuwepo kwa gari la kubebea wagonjwa 'AMBULANCE' hapo uwanjan,mchezaj huyo alipandishwa kwenye gari aina ya Toyota Harrier,japo baadae alizinduka.
Sosi:SPORTS XTRA-KLAUDS Fm
 
Ndio matatizo ya wabongo....uzembe kila mahali.Sasa hata hao TFF wanawezaje kuruhusu mechi kufanyika wakati uwanjani hata gari ya kubeba wagonjwa hakuna. Mi nadhani Fabrice Muamba yangemkuta huku kwetu saa hizi tunaanua matanga!!
 
TFF wanaanglia pesa tu na jinsi ya kuzitafuna hawana jipya la maendeleo ya soka la TZ.
 
Mamlaka za usalama ziko wapi?, ukipita barabarani na ki-corola chako kibovu utaulizwa mara mkanda , mara eksitingisha............ Inakuwaje hadhara kubwa ya watu wanaotumia nguvu inaruhusiwa kuendelea bila zana za tahadhari?, je viwanja vinajengwa tu bila hata kuelekezwa accesories za kuwa nazo?, hivi viongozi wa timu na vyama vyao vya michezo wanapofanya pre-match meeting wanajadiri nini?, hivi kigagula wa timu kazi yake ni kubeba barafu tu na haangalii kama uwanjani kuna zana muhimu za huduma ya kwanza, BMT wanafanya nini?, hivi uwanja wa mpira ukibomoka ama ukiwaka moto atasalimika mtu kweli?. Tafakari, chukua hatua.
 
TFF sijajua wanaweka vipaumbele kwenye mambo gani?,lakin jambo lilotokea Chamaz ni changamoto hyo
 
Golikipa wa timu ya Soka ya MORO UTD leo alizimia uwanjan wakat mchezo ukiendelea,
Kutokana na kutokuwepo kwa gari la kubebea wagonjwa 'AMBULANCE' hapo uwanjan,mchezaj huyo alipandishwa kwenye gari aina ya Toyota Harrier,japo baadae alizinduka.
Sosi:SPORTS XTRA-KLAUDS Fm

atajitangaza kuwa ni MUAMBA wa Tanzania, na wengine watatmani kufia uwanjani wawe kama VIVIAN FOE enzi zile
 
Hawana ruzuku, but, hupata pesha nyingi kupitia katika kutembeza bakuri kwa watu/makampuni/taasis mbalimbali, juhudi zao nyingi zinaelekezwa huko. Nilitegemea kwa sasa TEFUTEFu wangejitokeza haharani kuomba radhi kwa tukio la aibu kama lile la chamazi, lkn kwa kuwa hawaoni kama ni muhimu wameuchuna: inauma sana.
hvi ukiacha mapato na wadhamini,
wana ruzuku wale ya govt?
KI UTENDAJ TFF hakuna kazi kuna ushuz,
fitna ndo zmejaa
 
Back
Top Bottom