Mawazo magumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawazo magumu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TOWASHI, Mar 29, 2012.

 1. T

  TOWASHI JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Katika kujaribu kufikiria kuhusu jiji la Dar es salaam hususan msongamano na vurugu Kariakoo, nikapata wazo gumu la kufunga soko la Kariakoo. Linaweza kugeuzwa kuwa ofisi au kubomolewa na kuwa open space. Masoko ya nje ya mji kwa maana ya kila manispaa yakaboreshwa au kujengwa upya. Ni mawazo tu
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ama likafanywa nyumba ya kuishi waziri wa mambo ya nje ambae anaishi hoteli ya gharama na kuzidi kunyonya kodi za walala hoi
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Wewe manispaa ndio mtaji wao huo!
   
Loading...