Zitto: Sitagombea uongozi Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto: Sitagombea uongozi Chadema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by EasyFit, Mar 30, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,228
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuwa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama chake katika Uchaguzi wa ndani wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu.

  Nipashe.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Is this such a news?...Ni haki yake ya msingi!
  mWACHENI BASI ZITTO apumzike!
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ... KAFU-ADC damu huyo.
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,336
  Likes Received: 991
  Trophy Points: 280
  so what?
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Naona ameshindwa kuibadili saccos hii kuwa chama cha siasa
  OTIS
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,125
  Likes Received: 7,052
  Trophy Points: 280
  Kwani nani amemuuliza kwamba agombee!!?? na hata akigombea atagombea nafasi gani ya kuweza kushinda?.... yeye asubili tu nafasi ya kuteuliwa, huyu ni mpuuzi tu wa kupuuzwa na Masalia yake.
   
 7. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,521
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nahamia ccm ameshaahidiwa vinono huko
   
 8. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mmmh! Haya mahesabu mbona makali! Naweza kuyalinganisha na kauli mbiu ya uhuru wa miaka 50: Tumetubutu, tumeweza, na tunazidi kusonga mbele!
  Tafakari yangu: Kugombea uongozi ndani ya chama ni kujitengenezea mazingira ya kujichafua na hivyo kushindwa kutimiza azma ya kugombea urais ifikapo 2015.
  Please correct me!

   
 9. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwani Zitto amewahi kuwa kiongozi Chadema?
   
 10. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Zitti anawapa presha sana wasiopenda demokrasia
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...