Lala, lakini asubuhi uwahi hospitali kutibu mbavu zako! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lala, lakini asubuhi uwahi hospitali kutibu mbavu zako!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Mar 28, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  MTOTO ALIOMBA DUA MBELE YA WAGENI:-

  Eeeh mungu! Nakushukuru kwa kunipa wazazi wakarim,nakushukuru kwa kuwaleta wageni hawa waliomaliza chakula changu,naomba usiwalete tena wakati wakula.mbariki huyu kijana aliekuwa anacheza mieleka nadada kitandani na kumlisha sausage iliyo ndani ya suruali yake,wabariki wadada walio uchi kwenye cm ya baba ili wapate nguo,mwisho wabariki wanaume wanaokuja kulala na mama ikiwa baba yupo safarini ili nao wawe nakwao!


  YAPILI HIYO:

  Mzungu alipita na nyani wke katka duka la muuza ndizi,

  nyani akaiba ndizi moJa., muuza ndizi akakasirika sana, Mzungu akamwambia,
  unakasirika nini wakati aliekula ni ndugu yako?.,

  Basi jamaa akanyamaza.
  Siku ya pili nyani akaja peke yake kwenye duka la ndizi.

  Jamaa alipomuona akampiga mpaka akafa, Mzungu aliporudi akamkuta nyani wake amefariki kwenda kwa muuza genge kuuliza,

  Alifika kwa hasira nani kamuua nyani wangu? Jamaa kamJibu hivi,

  HAYAKUHUSU HAYA MASUALA YA KIFAMILIA.
  Mzungu akatulia tuliiii!


  YA TATU!

  Jamaa wawili walikua wanakimbilia treni.kufika kituoni treni hiyoo inaondoka,wakaamua kuifukuzia.
  jamaa 1 akaipata na mwengine kaikosa,

  Aliyekosa akabaki kucheka.

  walioshuhudia wakaamua kumuuliza.

  Mashuhuda:
  mbona umekosa usafiri halafuwacheka?

  Jamaa: ndio nacheka sababu aliefanikiwa kuipata treni alikua ananisindikiza tu.

  Usiku mwema!
   
 2. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tehe tehe tehe tehe teheeee!
   
 3. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu,umenivunja mbavu
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Uwahi kesho moi kutibu mbavu! Haahaaa!
   
 5. c

  cutienoe Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duhhhhh uwiiiii mbavu zangu mieee, hiyo ya msindikizaji kudandia treni ndio noma...
   
 6. Kyalow

  Kyalow JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  umetisha mkuu
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Uwahi asubuhi kwa Dr ila kuwa makini kuna Madr vishoka mwenzio mbezi kakatwa uume badala ya kutahiriwa!
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  te te te te te te te te te te teeeeeeee!!!!

  Mbavu zangu jamaniiiiii!!!!
   
 9. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Bila shaka asubuhi hii upo kwa hospitali ukifanyiwa ukarabati wa mbavu!
   
 10. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Du! Na hapa tutasewa mafaili yalichanganywa.? Jamaa atakosa mengi!
   
 11. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Hapo sasa, ugali moto,mboga moto,maji moto, haahaa bongo ya akili sana kuliko nguvu!
   
 12. k

  kbhoke Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Du, unaweza ukaua mtu wewe. Na unaona kawaida tu!!
   
 13. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Haahaa pole bwana mkubwa, wahi hospitali fasta!
   
 14. Jephta2003

  Jephta2003 JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2008
  Messages: 3,596
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  The 3rd one ni kiboko!
   
Loading...