Purchase on line | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Purchase on line

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yasser5, Mar 29, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF naomba udadavuzi wa jambo langu hili kwa mwenye uelewa wa kutosha na jambo lenyewe
  katika kukua kwa science na Techlonogia tuna shuhudia mtu anaweza kununa na kuuza kwa kutumia mtanadao na mtu akapata bidhaa yake swafii
  Swali langu katika kuperuzi ndani ya mtandao unaweza kukuta either soft wer au kitabu au kitu chochote may be game ili kukipata hicho kitu wana kwambia ulipie may ba dolla kadhaa kwa kutumia either master card ,visa card au card yeyte inayo tambulika kimataifa je njia hii ni salam ? Na je transaction hii bank zetu zinatambua na je pakitokea loss nani yuko reliable?
  Nimewahi kusikia electronics money transfer kuwa mtu akigundua a/c yako hata ikawa kwa Obama anaweza kukukomba ukiwa hapa hapa yeye yuko hukohuko
  Nitoeni kwenye kashimo hako great thinker wa JF
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  unahitaji kujua e.commercee na cybercrimes ni topic ndefu sana na pia unahitaji kufahamu online dispute enforcement
  naona una nia ya kusoma ICT.
  nashindwa kukujibu kwani itahitaji mda kukupa infor, soma What is Cyber Crime? jua Tanzania hatuna cybecrime law.hatuna electronic commerce law.pitia pitia gogle ujue kwa wenzetu Ulaya na marekani wanaregulate vipi cyberspace na online business soma ELECTRONIC COMMERCE DIRECTIVE, CONSUMER RIGHTS DIRECTIVE zipo online utaziona utajifunza mengi. suala la ,,tu kufahamu account yako afu akuibie kila kitu sio kweli ingawa inafanyika lakini kuna kitu wanaita PRIVATE KEYs na other securities unapewa unapofungua acccount ambayo ni onlune.
   
 3. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Yesser5, Baada ya kufuatilia maelezo aliyokupa Lokisa..utagundua kwamba online purchase/shopping ni salama iwapo utazingatia mambo yafuatayo:
  1. Seller (Muuzaji) anaaminika ( credible na ni certified e-vendor/reseller agent)..soma reviews za wanunzi wengine ili kujua kama hutupi pesa yako kwenye shimo.... ogopa stringmails zinazosema... I have been buying these products at very cheap price na wakakuwekea link ya kununua.
  2. Thibitisha kama seller atakusafirishia mzigo wako mpa ulipo say Urambo..- yaani kama unanunua vitu say UK au USA au
  kwingineko ni vizuri kujua kama postage/courier/shipping charges za kuleta package yako Urambo zimeeleweka maana wengine
  hawasafirishi nje ya nchi au mabara waliko.
  3. Ni lazima utumie credit card kwa usalama wa pesa zako na sio debit card
  4. Unapoingiza taarifa zako hakikisha ziko secure kwa kutazama --"secure verisign" yenye alama ya kufuli kwenye browserline.
  5. Na jambo muhimu la kuzingatia kabla hujaibofya kuweka hio order ya bidhaa utakazo..soma Terms of Service kama
  zinakulinda ipasavyo.

  Enjoy e-commerce.
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Naomba samahani kama nitakuudhi lakini huu ndio ukweli wenyewe. Wewe unaonekana ni mshamba kabisa wa mambo ya computer na internet kwa ujumla. Wewe ni type ya wale watu wanaolizwa na Wanaigeria. Jaribu kukaa na mtu mwenye uzoefu akueleshe na kamwe usikimbilie kufanya manunuzi kwenye mtandao kabla hujawa mzoefu... kwani hata ulivyouliza hapa vipanga wameshakujua na weshaanza kukunyemelea......
   
 5. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dhuu majibu mengne bhana sasa kama ulikuwa huna yaa kunielekeza ungepita tuu
   
 6. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndio wanachama wa JF!tumechanganyika,

   
 7. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  umeuliza maswali mengi sana, ntakujibu ntakavyoweza kutokana na uzoefu nlionao kwenye suala zima la online purchase. kwanza kabisa njia safi ya kununua kitu online is via paypal, hapo akaunti yako itakuwa safe mara mia zaidi. ikishindikana kabisa waweza tumia visa/master card number though its risky. pili dont assume, read word by word na urudie tena usije lizwa kihalali, kwani kama kitu kina mapungufu huwa wanaweka info za hayo mapungufu ila kimaficho sana na kwa lugha ya kuficha ficha. nmefanya sana hi kitu na nishalizwa so naitambua fika. NEVER GIVE YOUR CARD NUMBER AND SCV NUMBER TO ANY ONE. ukimpa mtu tu hizo umeibiwa kirahisi sana, ndio maana nimekushauri utumie paypal, sababu utapotumia viza/master card utatoa hizo info kwa muuzaji, so anaweza zitumia vibaya.
   
 8. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thanks
   
Loading...