Wanasayansi wagundua mabaki ya injini ya Apollo 11

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Kama uliwahi kusikia rocket kubwa ya kwanza kurushwa kwenda mwezini July 16, 1969 ilikuwa inaitwa APOLLO 11.yaap hiivi karibuni bwana Jeff Bezos amegundua moja ya injini kubwa kati ya tano ambazo zilitumika kurushia rocket hiyo mwaka 1969,iliyokutwa chni ya bahari ya Atlantic.

mabaki hayo ambayo wengi walijua yameshapotea moja kwa moja na hawakufikilia kuyaona tena wala katika uso wa dunia hii yameonekana hivi karibuni kwa ushirikiano wa bwana Bezos na wanachuo wa amazon nchini marekani.
"Ni msisimko na taarifa kubwa kwamba, kwa kutumia hali ya juu ya sanaa ya bahari ya kina kirefu , timu yetu imeweza kupatikana kwa injini ya Apollo11 chini ya uso wa bahari umbli wa futi 14,000hivi., "Bezos aliandika katika taarifa iliyochapishwa na tovuti . "bado hatujui hali ya hizi injini liwe kwa kwa kuwa imekaa ndani ya maji ya chumvi kwa muda wa miaka 40 hivi

TEMBELELEA HAPA >>>> TABASAMU: Wanasayansi wagundua mabaki ya injini ya Apollo 11
 
Tofauti ya mzungu na mwafrika ni kuwa mzungu anajifunza kila siku kutokana na yaliyotokea leo. Mwafrika hajifunzi, anarudiarudia makosa na haunganishi mafunzo aliyopata na kitu kinachotokea mbele yake. Ndiyo maana hatutakaa tuweze kufanya vitu vigumu kama hivi.

ni kweli kabisa.Waafrika ni wavivu ila wepesi kuelewa kama watagutushwa
 
Back
Top Bottom