Francis Miti: Polisi kuua raia ni ajali kama basi lilivyoua wanataarabu!

mwakichi

JF-Expert Member
May 14, 2011
417
95
Huyu ni kada ccm na mkuu wa wilaya ya mahenge,baada ya askari polis kuua raia wawil na kujeruh wengine watano huku wananchi wakishuhudia mkuu huyo wa wilaya ya mahenge mkoani morogoro anasema hiyo ni ajal kama bas lilivyoua wanataarabu..

Hivi serikal ya ccm inatupeleka wap?
Kwanin ccm inalea viongoz vihiyo kama hawa?
My take:
polisi na ninyi viongozi ni wachache sana ipo siku tutawauliza.
Source Itv habari
 
Mkuu!! namimi nimestuka,
Kauli ya mkuu wa Wilaya wa Ulanga si ya kibinadamu: inawezekana ana matatizo ya akili si bule.
 
Yule mkuu wa wilaya yani ameniuzi kinoma sijui mzee wa kuruka anga anawatoa wapi watu wasio na upeo kabisa!

Yani Polisi kuua watu wa5 kimakusudi ni sawa na ajali iliyoua waimba taarabu wa 5 star? Kweli mkuu wa wilaya yani ni kweli?
 
Uwiiiii ni kilio yaani anacheka huku akisema eti ni ajali kama ya min bus iliyouwa waimbaji wa taarabu anasema inashangaza kwa nini wameamua kuua lakini ni ajali zoezi bado halijaanza si watauwa wananchi wote inakuwaje mlinzi wa wananchi anachekelea wananchi walionyoosha mikono juu kuomba amani
Lakini nadhani ni Kwa sababu Amiri jeshi Mkuu Mh.Jakaya Mrisho KIkwete ameridhia kwa sababu tangu polisi waanze kuuwa wananchi kila wiki hajawahi kukemea hata akiongea na wazee wa Dar es Salaam haongelei kabisa Polisi kuua wananchi wasio na silaha na hatia yeyote
Shemeji yake Amiri Jeshi Mkuu IGP Mwema yeye ndio yuko Likizo kabisa na si ajabu atapelekewa michele na makambale kutoka Ulanga hii nchi ni zaidi ujuavyo
 
Kweli viongozi wengine ni waropokaji. Mkuu wa wilaya Ulanga anasema raia waliouwawa Ulanga na askari ni ajali kazini kama walivouwawa kundi la Modern Taarabu. Ameongea mwenyewe ITV-Habari ya saa mbili. Nimeshangaa, kiongozi gani huyu. Kwa kauli kama hiyo ingetosha ang'atuke. Kweli hawa askari wameshindwa kudhibitiwa, watakuja kupindua hata serikali, maana silaha wanatumia wanavotaka.
 
Huyu ni kada ccm na mkuu wa wilaya ya mahenge,baada ya askari polis kuua raia wawil na kujeruh wengine watano huku wananchi wakishuhudia mkuu huyo wa wilaya ya mahenge mkoani morogoro anasema hiyo ni ajal kama bas lilivyoua wanataarabu..

Hivi serikal ya ccm inatupeleka wap?
Kwanin ccm inalea viongoz vihiyo kama hawa?
My take:
polisi na ninyi viongozi ni wachache sana ipo siku tutawauliza.
Source Itv habari

Hakuna wilaya ya Mahenge
 
Da yule mkuu wa wilaya akapimwe akili au usikute ni uoga wa mic akaropoka tu!
 
Kweli viongozi wengine ni waropokaji. Mkuu wa wilaya Ulanga anasema raia waliouwawa Ulanga na askari ni ajali kazini kama walivouwawa kundi la Modern Taarabu. Ameongea mwenyewe ITV-Habari ya saa mbili. Nimeshangaa, kiongozi gani huyu. Kwa kauli kama hiyo ingetosha ang'atuke. Kweli hawa askari wameshindwa kudhibitiwa, watakuja kupindua hata serikali, maana silaha wanatumia wanavotaka.

Ama kweli, huyu Mkuu wa wilaya ni Mwanajeshi nini? maana akili ya raia haiwezi kuongea pumba hizi. ama aliwatuma?
:A S 114:
 
Wakati tunamshangaa Mkuu wa Wilaya kwa kuwa mjinga kiasi hicho ni wakati muafaka sasa tuanze kutafakari umuhimu wa nafasi hizi kibao za kuteuliwa hapa nchini. Tukumbuke huyu katumwa kusimamia ulinzi na usalama wa watu katika eneo lake na kama aliteuliwa kwa vigezo vya kuweza uongozi wa wilaya na yuko hivyo huyo aliyeridhika na uwezo wake na kumkabidhi wilaya anawaza nini?
 
Kweli viongozi wengine ni waropokaji. Mkuu wa wilaya Ulanga anasema raia waliouwawa Ulanga na askari ni ajali kazini kama walivouwawa kundi la Modern Taarabu. Ameongea mwenyewe ITV-Habari ya saa mbili. Nimeshangaa, kiongozi gani huyu. Kwa kauli kama hiyo ingetosha ang'atuke. Kweli hawa askari wameshindwa kudhibitiwa, watakuja kupindua hata serikali, maana silaha wanatumia wanavotaka.
Wanaongea kama wanaharisha kwa sababu wanajua sisi watanzania ni kama wale nyumbu wa manyara. Unafikiria nchi yenye raia makini kiongozi atathubutu kufanya au kuongea unyama kama huu.... ?
 
Jamani nimesikitika sana kama tumefikia hapa tena akasema hiyo ni sawa na ajali kazi haijaanza naombeni kila mwenye tv aangalie marudio ya taarifa ya habari saa 5 ni aibu kwa taifa linalojinadi ni kisiwa cha amani, imeniuma sana ni udhalilishaji dhidi ya utu wa mwanadamu.
 
Nimemsikia akiongea nikajikuta natetetemeka kwa hasira! Hivi hawa ndio viongozi tulio nao kweli? Huyu ni wa kunyongwa kabisa!!
 
Huyu ni kada ccm na mkuu wa wilaya ya mahenge,baada ya askari polis kuua raia wawil na kujeruh wengine watano huku wananchi wakishuhudia mkuu huyo wa wilaya ya mahenge mkoani morogoro anasema hiyo ni ajal kama bas lilivyoua wanataarabu..

Hivi serikal ya ccm inatupeleka wap?
Kwanin ccm inalea viongoz vihiyo kama hawa?
My take:
polisi na ninyi viongozi ni wachache sana ipo siku tutawauliza.
Source Itv habari

Mkuu hawa watu wameshatujua sisi ni wabwabwaji wa pembeni tu,kifupi mabwege,wakipenda wanatuua,wanatusakizia kesi,wanatuchagulia viongozi,wanatuibia rasilimali zetu watakavyo!tukifungua midomo kidogo wanatukaripia na kututisha,wanajua kwa kua mabwege hatuwezi fanya kitu,watanzania tusipoamua na kuwaonyesha hawa watu kua hatutaki,tutaendelea kulalamika na kunyanyaswa milele!
 
Najiuliza kama wale waliokufa/uwawa mmoja wao angekuwa Ndugu yake kame angesema hivyo!! Sioni ajabu huo ndo utaratibu wa magamba hakuna kuwajibishana,wao wanaona sawa tu!! Very sad. Second time again watu wanauwawa wa huko last time wa case ya zombe!!!
 
Huyu ni kada ccm na mkuu wa wilaya ya mahenge,baada ya askari polis kuua raia wawil na kujeruh wengine watano huku wananchi wakishuhudia mkuu huyo wa wilaya ya mahenge mkoani morogoro anasema hiyo ni ajal kama bas lilivyoua wanataarabu..

Hivi serikal ya ccm inatupeleka wap?
Kwanin ccm inalea viongoz vihiyo kama hawa?
My take:
polisi na ninyi viongozi ni wachache sana ipo siku tutawauliza.
Source Itv habari

Huyu jamaa ni ms@€£ng€ nin yaan watu wanakufa yeye analeta hoja za kimasaburi! Hv anajua watu wakifa wanaendaga wapi kama anakujua si angetangulia yeye! Aaghrrrrr!
 
Hao marehemu hawana ndugu wanaoweza kujilipizia kisasi kwa niaba yao? Halafu nayo iwe ajali kama ajali zingine, tufunge ukurasa?
Haki iko mbinguni jamani, sio duniani, hasa hapa Tanganyika.
 
Back
Top Bottom