Wanafunzi wavamiwa hostel na kuporwa simu na fedha,mlinzi auwawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wavamiwa hostel na kuporwa simu na fedha,mlinzi auwawa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Deejay nasmile, Mar 29, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,543
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  TUKIO HILI LA KUSIKITISHA LIMETOKEA JUZI KATIKA HOSTELI ZINAZOTUMIWA NA WANAFUNZI WA CHUO KIMOJA CHA uhazili AMBCHO KIPO MKOANI TABORA.AMBAPO WATU WASIOFAHAMIKA IDADI YAO WALIVAMIA HOSTELI HIZO MAJIRA YA SAA TISA ZA USIKU NA KUWAPIGA WALINZI WA HOSTELI HIZO NA KUSABABISHA KIFO CHA MLINZI MMOJA NA MWINGINE KUJERUHIWA VIBAYA KISHA MAJAMBAZI HAO WAKAINGIA VYUMBANI MWA WANAFUNZI HAO NA KUWAAMURU KUTOA PESA NA SIMU ZA MIKONONI ZA WANAFUNZI HAO WA KIKE.

  CHANZO CHETU CHA HABARI AMBACHO NI MMOJA KATI YA WANAFUNZI HAO AMEIAMBIA BLOG HII KUWA WALISIKIA VISHINDO VYA WATU NJE VYUMBA VYAO NA KISHA WAKAGONGEWA MLANGO,WALIPOFUNUGA TU WATU HAO AMBAO WALIKUWA NA NYUNDO,MAPANGA NA JIWE LA FATUMA WALIANZA KUWAPIGA NA KUWAAMURU WATOE KILA WALICHONACHO,KISHA WAKAONDOKA NA KUELEKEA VYUMBA VINGINE.


  ZAIDI TEMBELEA >>>>> http://nasmiletz.blogspot.com/2012/03/wanafunzi-wavamiwa-hostel-na-kuporwa.html
   
 2. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,919
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  mzee ni uhazili au uwazili.? Duh,kuna demu nilimpitiaga pale ngoja nimtafute.
   
 3. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,543
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  usingizi ulinichanganya hahahaha.
   
 4. s

  sugi JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,315
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ulimpitia ili muende wapi?
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hawajawabaka? Mana hili ndo baya zaidi, POLENI SANA KWA MATATIZO YALIYOWAKUTA
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,356
  Trophy Points: 280
  Poleni wanafunzi kwa mkasa huo uliowakumba.
   
 7. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,543
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  hawajawabaka mkuu.Wao walikuwa kimaslahi zaidi
   
 8. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,543
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  ndo hvyo bwana.
   
 9. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ana miwaya!
   
Loading...