Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama mme-note wakuu kumetokea tatizo la kukosekana kwa magazeti ya MWANANCHI kwa wauzaji wa kawaida mitaani.. Nimeulizia nikaambiwa kuna mgomo toka kwa baadhi ya maajenti wa gazeti hilo.. Mpaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juzi nilipata bahati ya kutembelea Kenya nilikuwa nahudhuria mkutano fulani pale Nairobi. Katika matembezi mtaani nikakuta tayari wenzetu wameanza kujenga fly overs katika makutano matatu na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
With tourism now officially recognized as second largest source of foreign exchange after remittances from Ugandans working abroad, the Ugandan government is considering reviving its national...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
January Y. Makamba It's now official: Congrats Chadema and Ndugu Nassari for winning a bitterly fought election. Wana-CCM msife moyo. Jitihada haiondoi kudra. Nape Nnauye Hongereni watani...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Yaan alikuwa UK anaunganisha Botswana kwenye sherehe za kuzaliwa Chama! safari hii haendi kuxika songea?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati wa matukio kama ya ucgaguzi na sensa ndia hali halisi ya kutojua kusoma na kuandika inapojitokeza hadharani. Msimamizi wa kituo cha Zahanati huko Arumeru alisema "Kwa kweli suala la kusoma...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Hungarian President Pal Schmitt resigned from office this morning after he was stripped of his PhD for plagiarizing his thesis.An academic committee found this week that 17 pages of his 215-page...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Peopleeeees!namn kuwa umeitikia vyema,wana chadema wote kwanza tumshukuru mungu kwa ku2pigania na kuiondoa ccm arumeru,licha ya ushindi huu mzito ninaomba tucjisahau elimu ya uraia iendelee...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama watanzania na wana wa nchi hii hatuwezi kuendelea tena kuwa watazamaji!lazima tufanye maamuzi tusipofanya maamuzi sahihi,tutafanyiwa maamuzi ya hovyo na hapo ndipo itakuwa kilio na kusaga...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Gazeti la RAI lilichapisha utafiti ambao ulileta mashaka kwa wengi na kupotosha kwa kiasi kikubwa kuhusu atakayeshinda uchaguzi wa arumeru mashariki.Tunawaomba mara baada ya uchaguzi kufanyika na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa juu ya shamba la miwa mwekezaji kakimbia kwa kushindwa gharama na lengo ilikuwa awe anauza nje lakini uendeshaji umemshinda na sasa kuna kampuni mama toka Maurit.. Na inachukuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chadema candidate in Arumeru East PM by electiom .Mr Jushua Nassari has be declared the winner this morning .Accoriding to Arumeru East returing officer Mr T Kagenzi Mr .Nassari got 32,672 votes...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvini kuweni makini na Airtel, juzi tarehe 31/03/2012 niliweka tshs 2500 na kujiunga na kifurushi, nilidawnload 20mb pekee, kesho yake tarehe 1/4 nili-connect kuendelea na kusoma habari kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana wakati wananchi wa Arusha na vitongoji vyake wanasubiri kwa hamu matokeo ya uchaguzi wa jimbo la Arumeru Mashariki ni kituo cha SUNRISE RADIO FM kilifanya kazi kilichopaswa kufanya kama...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimefurahi kuona vijana wakiwa na furaha na upendo wa dhati kana kwamba sasa mbingu imeamua kufunguka si hivyo tu kuonyesha ccm tofauti ya joshua nassari aliegombea jana na joshua wa leo naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtoto Fatma Omary 7yrs amekunywa viloba 9 vya konyagi. Tukio limetokea Tanga.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kana kwamba bado awaamini mungu yupo na ndie anaempeleka kijana wetu joshua pale dodoma kundi la wana ccm limeibuka na kudai kijana wao hapo juu amewahujumu na hii ni kutokana na kukanganyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hawa Jamaa tangu jana wakati upigaji wa kura unaanza walikuwa wako live na Arumeru Mashariki hatua kwa kwa hatua, ikaendlea hadi kwenye matokeo ya awali, lakini kwenye kutangaza matokeo ya mshindi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari za ITV lakini nashidwa kujua nikusoma awajui hawa watangazaji wao au nini. nasema hivi kwasababu kila mtangazaji wao huwa anashidwa kutamka jina la...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…