Kikwete umeishia ahadi za fly-overs.....wenzio kenya tayari zinajengwa na wachina....unafanya nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete umeishia ahadi za fly-overs.....wenzio kenya tayari zinajengwa na wachina....unafanya nini??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magezi, Mar 30, 2011.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Juzi nilipata bahati ya kutembelea Kenya nilikuwa nahudhuria mkutano fulani pale Nairobi. Katika matembezi mtaani nikakuta tayari wenzetu wameanza kujenga fly overs katika makutano matatu na nilivyo uliza nikaambiwa huo ni mwanzo tu.

  Mimi nimerudi najiuliza hivi zile ahadi za Kiwete za kujenga fly-overs zimeishia wapi?? Au ni maneno tu ya ******??
   
 2. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hazitajengwa tena ni marufku,na wamemweleza Magufuri kuwa hakuna kubomowa tena nyumba,ili tubaki na msongamano wetu kama zamani,ambae hataki kuwa ktk msongamano abadilishe uraia,bongo hiyo bla bla bla bla

  hakuna cha fly over wala fly down hehehehehehehehehehehe ni fly chali sasa
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  wenzetu wapo mbali kidogo.....wanataka roundabout zote wazitoe ili kupunguza jam......dah Tanzania kweli kichwa cha mwenda wazimu....hivi hawa wakubwa huwa hawatembelei huko hata wakaona mfano?
   
 4. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Waone mfano? na shopping wamwachie nani????
   
 5. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Acha utoto, kwani hao kenya ahadi walizitoa lini na wameanza ujenzi baada ya muda gani?
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  inasikitisha sana kuona wakubwa wa CCM wanakalia maneno wakati jirani zetu wanakomaa na vitendo. Cha ajabu, sasa hivi kenya wameanza drilling kwenye Geo-thermal kwa ajiri ya kuzalisha umeme......sisi tuna makaa ya mawe mpaka yanajitokeza juu ya ardhi lakini umeme hakuna......

  Hivi ni nani atuazime akili tupandikize kwenye vichwa vya watawala wetu???????
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mkuu issue hapa ni vitendo na wala siyo porojo eti uliahidi lini......
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Haya bidada,
  Niambie, pale KERICHO pia kuna hizi flyovers?...au ndiyo sababu umegomea huko..lolz!
   
 9. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tuaptie basi na time frame ya kutekeleza ahadi za kiCCM ama tunarithishana kama daraja la kigamboni.
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  wakimaliza NBI wanahamishia Kericho mpaka nchi nzima inaenea flyovers.....heheheheee
   
 11. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nape anayo majibu
   
Loading...