pongezi za viongozi wa CCM juu ya ushindi wa Nasari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pongezi za viongozi wa CCM juu ya ushindi wa Nasari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanajamii, Apr 2, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [h=6]January Y. Makamba
  [/h][h=6]It's now official: Congrats Chadema and Ndugu Nassari for winning a bitterly fought election. Wana-CCM msife moyo. Jitihada haiondoi kudra.[/h]

  [h=6]Nape Nnauye
  [/h][h=6]Hongereni watani (Chadema) kwa ushindi Arumeru Mashariki. Ninawapongeza mmeshinda! Ndio kauli ya wana Arumeru Mashariki nasi tunaiheshimu! Fanyeni kazi kutimiza mliyowaahidi wapiga kura. Kila lakheri!![/h][​IMG]
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [h=6]Nape Nnauye
  [/h][h=6]ASIYEKUBALI KUSHINDWA.............[/h][​IMG]
   
 3. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  moja ya maneno ya busara kutoka kwa nape!!!hakika ushindi huu umenoa hata bongo zilizolala!!!!
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Haya maneno yanathibitisha mambo fulani kiutendaji kuwa; wanashabikia sasa yule jamaa kushindwa na kwamba sasa vita ya kujivua gamba ni ya lazima....
   
 5. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kimsingi nape lazima uwapongeze kwani wanaarumeru wametenda mlotaka yafanyike hongera sitta na kambi yenu.
   
 6. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Na mkuu wa nchi anasemaje kuhusu ushindi huu au ndo mwekit wa tume ya uchaguz huko ARM hana kaz tena.
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,771
  Trophy Points: 280

  Chadema sio watani wa CCM, hatuna utani na wezi sisi.
  Nape unaposema hongereni watani (Chadema) sijakuelewa, ni lini tumeanza utani na nyie wabakaji wa demokrasia???
  Tunatembeza rungu za macho hatuna utani na jambazi sisi.
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [h=6]Comrade Sambala
  [/h][h=6]SALAMU ZANGU KWA WANA TANURI.

  HONGERENI WAMERU...
  HONGERA CHADEMA...
  HONGERA JOSHUA...

  Maamuzi ya wanaarumeru yaheshimiwe.

  Katika Uchaguzi wowote lazima mshindi apatikane.

  Na JOSHUA NASSARI Ndio Mshindi halali aliyetokana na maamuzi ya wengi.

  TUMPE USHIRIKIANO KIJANA MWENZETU

  USHAURI KWA CHAMA CHANGU CCM, KISIMTAFUTE MCHAWI.

  KIJITATHIMINI JUU YA MWENENDO WAKE NA MWENENDO WA VIONGOZI.

  ASANTENI SANA.

  SIASA NA VYAMA NI NJIA YA KUYAFIKIA MALENGO YA KUIJENGA TANZANIA YENYE NEEMA..
  [/h]
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [h=6]Christopher Magala
  [/h][h=6]Hongera wana CHADEMA kwa ushindi mkubwa liopata huko Arumeru na kwenye udiwani huko Mwanza, Kiwira Mbeya na Songea. Nawapongeza pia wana CUF kwa kushinda pale Msambweni Tanga. Wana CCM yatupasa tukae chini tutafakari kulikoni? Tumeteleza wapi, tukibaini tatizo tuje na mkakati wa namna ya kurudisha heshima ya Chama![/h]
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [h=6]Jumanne Miraji Simba
  [/h][h=6]SISI NI CCM KAMA TUMESHINDWA TUJIPANGE UPYA ONGERA WATANI..UMOJA WETU NA UPENDO WETU UTABAKI PALE PALE KEBEI FUJO MATUSI UGOMVI SI MSINGI WA TZ YETU..[/h]
   
 11. Imany John

  Imany John Verified User

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Asante.
  Tena sana
   
 12. s

  sirghanam JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nape kakubali haraka kwa sababu SIONI hakuwa chaguo lake. Na ki ukweli ameshangilia kimoyo moyo kwa SIONI kushinwa. Unafanya mchezo kulazimishwa kumpokea mtu uliyemwita gamba kwa heshima zote
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  • Write a comment...
  [​IMG]

  [h=6]Kahumbi Lumola Steven
  [/h][h=6]Hongera sana Mtanzania mwenzetu kaka JOSHUA kwa ushindi ARUMERU MASHARIKI. Hii inaonyesha ukomavu wa Demokrasia Tanzania. Big up WATANI ZETU WA JADI[/h]
   
 14. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hii imekaa vizuri, nimeipenda.
   
 15. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  naomba mwongozo kutoka kwa wanasheria,.lusinde anaweza kushitakiwa kwa mitusi yake?
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  • [​IMG]


   John Chiligati Asante mabula kwa salamu na hongera kwa ushindi!ktk demokrsia kuna kushinda na kushindwa ni muhimu tuzoee yote mawili! Ccm tumeonyesha mfano wa kukubali kwamba tumeshindwa Arumeru mashariki, vyama vingine vijifunze somo hili japo ni gumu ktk demokrasi changa kama za kwetu! Nakushukuru tena comred mabula kwa kunipa salamu
   
 17. F

  Freekamanda Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi ni moja tu, ushindi..............2015 magamba watakiona cha moto! Hongera CDM
   
 18. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Asanteni watani January na Nape kwa kukubali mapema taratibu wote tutafika kwa amani na sio lazima tuanze kumwaga damu kama ilivyotea mwanza kwa makamanda wa upiganaji kukatwa mapanga.
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Christopher,
  Chama chenu kilianza kupoteza muelekeo baada ya kuliua Azimio la Arusha na kuanzisha Azimio la Zanzibar. Marehemu Kolimba aliwaambia mkampuuza, mlipofikia leo kujitoa ni kazi ngumu mno maana viongozi mlio nao leo hawana uwezo wala dira. Walio na uwezo wote mmewapaka matope hivyo hamuwezi kuwatumia tena.
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
Loading...